Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hilo lajulikana ila sio kua nampenda sana Missa hapana!!ila Wema tukubali anamchukia Misa waziwazi yaani ugomvi wa Hamisa lazima ashadadie halafu mange ndo hua anamuingiza Missa but Missa hajawahi mtukana wema labda kwa siri ila hadharani sijaskia yaani Wema anaumwa jamani na Missa kuliko ilivyo!!!

Hua wanapewa maswali ndio sikatai ila nafikiri yule alifanyiwa manuva yenyewe yotee!

[emoji23] [emoji23] Wema nampenda a anazingua sana mjini!
Chanzo cha missa na malika kugombana ni baada ya malika kumsikilizisha Wema voice note ambazo hamissa alikua anamsema wema dukani kwa malika.

Kihamissa kinafki ka chini chini .

Nampenda sana Wema so hapa lazima nimtetee lol![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtetee tu mama!ila Ukweli Wema bwana ndo nimeona rangi zake Leo!
 
Mwanafunzi wako kuna siku alikua anamsema wema huku mbele za watu anajidai dada angu. Wema akaja kuyapata ndio kumchukia from then
Na diamond pia yanamuuna hana lolote alikosewa na kina Snura hawachukii hvyo suese Missa kiukweli Wema nae ni mnaafiki
 
Ukiona wema anamfanyia misa visa ujue lazima wanaconflict chini chini. Ila misa si unajua ye anajifanyaga innocent,, kumbe nyuma ni nyoka mweusi
Hakuna bongo movie asiye mnaafiki Wema wanawake wote waliolala na diamond kagombana nao shoo...kama hujui hakuna aliyeachwa
Naenda kusimamia pepa narudi nkukumbushe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hilo lajulikana ila sio kua nampenda sana Missa hapana!!ila Wema tukubali anamchukia Misa waziwazi yaani ugomvi wa Hamisa lazima ashadadie halafu mange ndo hua anamuingiza Missa but Missa hajawahi mtukana wema labda kwa siri ila hadharani sijaskia yaani Wema anaumwa jamani na Missa kuliko ilivyo!!!

Hua wanapewa maswali ndio sikatai ila nafikiri yule alifanyiwa manuva yenyewe yotee!

[emoji23] [emoji23] Wema nampenda a anazingua sana mjini!

Kwa anachokifanya Nyumbu ni kupuyanga tu.ameonesha wazi huma anaumizwa na Missa Kuzaa na Chibu
 
Watu wa hivyo waogope mbele za watu malaika akiwa gizani shetani [emoji23][emoji23]

Bora Wema hanaga unafki anakuchukia live

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaa. Yani nje she is innocent reality sasa.
Kama aliweza kumtunza zari kwenye 40 ya mwanae huku anakulana na bwana ake kisirisiri atashindwa mengine. Sema malipo ni hapa hapa duniani.
 
Ukiona wema anamfanyia misa visa ujue lazima wanaconflict chini chini. Ila misa si unajua ye anajifanyaga innocent,, kumbe nyuma ni nyoka mweusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wa hivyo waogope....wewe fikiria kile kipindi anaenda anamtunza Zari kumbe pembeni anatembea na mond hata hofu hana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wa hivyo waogope....wewe fikiria kile kipindi anaenda anamtunza Zari kumbe pembeni anatembea na mond hata hofu hana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiangaliaga ile video. Mimi kama mwanandoa,,huwa najisi uchungu sana,, nahisi kumchukia huyu dada alimuumiza sana mwenzie,,

Jana mume wangu hajuagi hzi habari ila kwa furaha ,,nilimsimulia ,,😂😂😂😂😂
 
Nikiangaliaga ile video. Mimi kama mwanandoa,,huwa najisi uchungu sana,, nahisi kumchukia huyu dada alimuumiza sana mwenzie,,

Jana mume wangu hajuagi hzi habari ila kwa furaha ,,nilimsimulia ,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo lajulikana ila sio kua nampenda sana Missa hapana!!ila Wema tukubali anamchukia Misa waziwazi yaani ugomvi wa Hamisa lazima ashadadie halafu mange ndo hua anamuingiza Missa but Missa hajawahi mtukana wema labda kwa siri ila hadharani sijaskia yaani Wema anaumwa jamani na Missa kuliko ilivyo!!!

Hua wanapewa maswali ndio sikatai ila nafikiri yule alifanyiwa manuva yenyewe yotee!

[emoji23] [emoji23] Wema nampenda a anazingua sana mjini!
Ila mange ni noma.kawazimia kiki wamebaki icu
 
Back
Top Bottom