Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Habari ya mujini ndo hiyo

Mlokua hamjui ndo mjue tena muipate ikiwa ya moto kabisa. Habari ni kuwa Hamisa Mobetto ndo mke mtarajiwa wa Diamond Platnumz hehehee kwaheri Zari.

Habari ndo hiyo kwahiyo team Zari mjiandae kisaikolojia kabisa kwamba bibi akubali kuwa na mke mwenza au aende Uganda hahahaha

#hamisa#forever

[HASHTAG]#Penzi[/HASHTAG] la Hamisa halijawahi kumuacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hamisa anagomba ninii,,,wambea wenzagu hebu tupeane hii habarii,,,hii headline tu habari kamili tuipate
Screenshot_2017-08-21-22-26-20.png
Screenshot_2017-08-21-22-26-12.png
 
Hii familia inawacheza akili imfurahishe huyu bibi wa uganda maana kadanganywa sana wanaogopa asije akashtuka siku akijua paa kazimia huyu mondi hata simwamini alivyomchora peny mganda ajiandae
 
Leteni ubuyu basi wa motomoto[emoji12]

G.O.M.D
 
Huyu hamisa angejituliza ni mzuri na kijana angepata wake tu.angejilia zake kimya kimya tu kama aliamua kuiba.yeye alivyozaa tu paap mara jina .kama ni kweli unajua kabisa huyo anaezaa nae ana mtu ambae kutwa mapicha mtandaoni na mpenzi wake .arobaini ya mtoto wake ulienda na kucheza na kutunza kumbe moyoni unayatamani ( wapo wanawake wa hivyo) anajifanya close na wewe kumbe Ana lake jambo ) sasa hapo ajikaze ajitume alee watoto wake.asitegemee wanaume .ipo siku atapata wake.faiza yule pale amejikubali.
 
Back
Top Bottom