Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Ndio yaleyale kutwa kumpost Mwanaume lakini mwanaume anapost mwanamke mwingine wewe unaona unamkomesha mwanamke Mwenzio kumbe unajikomesha Mwenyewe tangu Hamisa aanze drama zake chibu kakaa kimya. Kuna wanawake wana mioyo migumu Kama Hamisa kulialia ndoa hadharan wakat unayemlilia Hana habar na wewe au mliliee mkiwa wawili. Ukija kuweka hadharan waja hatuamini mpaka chibu athibitishe.
Inaonekana wakiwa faragha jamaa anampa maneno matamu,akitoka tu anakana
 
hamisa na sampuli ya wanawake michepuko ambayo kutwa kusubiri mke halali aachike aingie yeye halafu mbaya zaidi anakutana na mwanamke mwenye akili iliyokomaa atoki mtu zaidi mtoto atalelewa tu na kuishia kujutia maamuzi ya kuzaa na mtu asiyekupenda.... hamisa ni muda sasa utulie mapenzi hayalazimishwi dai yupo kwa zari kwa ajili ya biashara the same na zari wale wamejijenga zaidi nje ya mapenzi... sasa mama dai aje kwako zaidi ya kukata kiuno huna la zaida aisee sijui labda ukamloge dai.. nikiangalia kwa jichola tatu hamisa jiandae kisaikolojia
na zarina ni jiwe la mtoni hawez kukubali huyu mtoto amtoe nje ya madale hata afanyaje zari ni wa diamond
 
Makubwa,kabla ya dai kuwa na zari si alishakuwa na jokate na penny,wema zilipendwa alimuacha mwenyewe eti anaibiwa nyota,hio nyota aliyoachiwa hadi wa leo imemsaidiaje
Mnaamini sana uchawi ila mshana jr akitoa threads zake za ulozi mnamsakama aisee
Hill la mwisho ndo jibu yule bibi wa kiganda ana limbwata moja matata alifanya mpaka domo kamsahau Wema kipenzi chake itakuwa hamisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wema kadhalilishwa mara nyingi tu na dai,kumbuka lile tamasha la dai la kiingilio sh 50000 enzi hizo jokate ndo kashika usikan kwa dai,nadhan unakumbuka dai alimfanyia nn wema. Wema akirudi kwa dai atakamilisha ule usemi wa kwamba yeye ni nyumbu

Hizo nyimbo anazoimbiwa ni dhihaka tu
Yaani mond akisema anaachana na zari mtu wa kwanza kurudi ni Wema maana pamoja na mane no yote lkn hajawahi kumtukana Wema wala kumuongelea vibaya zaidi zaidi anamsifia kwenye nyimbo zake na akiulizwa kama bado anampenda Wema huwa hatoi jibu la yes au No, hamisa namuonea huruma hataki kuamini kwamba ye kwake ni mchepuko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ishu ya hamisa imeumbua watu humu,wengi ni michepuko au wake za watu ila waliwapata hao wanaume baada ya kuwakwapua kwa wanawake wenzao ndo maana wanamshabikia hamisa
Mbona mnalazimisha mondi amuache zari ina maana mmeo akizaa nje ndo unaachika acheni kuharibu mahusiano ya watu, haf wanawake msitegemee kuzaa na mtu ndo usababishe aache mpenz wake hyo msahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona naskia zari anaolewa na mond siku ambayo ni bday ya mobeto
 
Mbona mnalazimisha mondi amuache zari ina maana mmeo akizaa nje ndo unaachika acheni kuharibu mahusiano ya watu, haf wanawake msitegemee kuzaa na mtu ndo usababishe aache mpenz wake hyo msahau

Sent using Jamii Forums mobile app
zari ana moyo kama mawe hawezi kumuachia huyu kisweleswele mume never............... halaf kwanini zari asichukue ujuzi kwa lulu ndo kiboko ya mabeto
 
Back
Top Bottom