Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Unaikumbuka ile kampen ya timu wema bring our wema back,unakumbuka interview za wema huwa anasema alimuacha mwenyewe dai na kwamba ni mwanaume wa kiswahili sio saizi yake. Hakuna upendo hapo,dai mara nying tu alimkashfu wema sema tu team wema wanalazimisha mambo ya kupendana.
Na mbona dai huwa hatoi majibu ya moja kwa moja kuhusu hamisa,ukweli ni kwamba dai anaenjoy kuongelewa so akitoa majibu hataongelewa sana
Kina jokate na penny alikuwa nao alipoachana na Wema kwa Mara ya kwanza baadae walirudiana Wema akamuacha ndo akaenda kwa zari, kwa nn diamond huwa hatoi jibu la moja kwa moja anapoulizwa kuhusu Wema ,?? Wale walipendana kweli sema ustaa tu ndo unawasumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna watu wanashangaza mara waseme zari hana pesa mara zari ana hela wakati huo huo wamesahau kuwa dai alinunua ile nyumba ya afrika kusini,huku pia wakisema zari ni gold digger sasa gold digger tangu lini akatumia pesa zake kumganda mwanaume maskini
NA ZARI ATATUMIA MASLAHI HIYO KUMDHIBITI HAWA VISHKWAMBI WATAENELEA KUKAA HUKOOO MAMA MJENGO ATAKUWA ZARI WENGINE WATAISHIA KUHANGAIKA INSTA
 
Hii kurudiana unairudia sana tu ila ukweli ni kwamba wema ndio alijirudisha na hata leo akiitwa mandale kwa usiku mmoja ataenda. Hakuna upendo pale,wema zilipendwa tu
Ni kama alivomwita hamisa "bitch"?? Sasa kumbe kipindi cha jokate lkn baadae c walirudiana hao ?? Wale wanapendana wote sema ndo ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna watu wanashangaza mara waseme zari hana pesa mara zari ana hela wakati huo huo wamesahau kuwa dai alinunua ile nyumba ya afrika kusini,huku pia wakisema zari ni gold digger sasa gold digger tangu lini akatumia pesa zake kumganda mwanaume maskini
Zari ndo anamuhonga mond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamisa Mobeto hapati chochote kwa Mondi, kajipendekeza kwa Mondi weeee mpaka kafanikiwa. [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Habari ya mujini ndo hiyo

Mlokua hamjui ndo mjue tena muipate ikiwa ya moto kabisa. Habari ni kuwa Hamisa Mobetto ndo mke mtarajiwa wa Diamond Platnumz hehehee kwaheri Zari.

Habari ndo hiyo kwahiyo team Zari mjiandae kisaikolojia kabisa kwamba bibi akubali kuwa na mke mwenza au aende Uganda hahahaha

#hamisa#forever

[HASHTAG]#Penzi[/HASHTAG] la Hamisa halijawahi kumuacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia ww utakuwa mke wa pili
 
Jamani si kwa mabango hayo kwa mama Dully aka hamisa mabetrooo. Mumuache apumzike
 
Waaoww kumbe dai mario ee daah salute kwa zari yaan ile nyumba ya south Africa kanunua zari,madale kanunua zari,ukarabati nyumba ya mbagala pesa za zari,studio na vifaa vyote vya WCB vyote pesa ya zari. ZARITHEBOSSLADY SLAYING LIKE A QUEEN
Shost uteam unauweza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mm sina team sio team hamisa wala zari mm naangalia hili movie mwisho wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mondi anamkana huyu mtoto na anajifanya kudai DNA pana siri kunwa sana kuhusu uzazi wa mondi na siri hiyo zari atakuwa anajua mbona hakudai DNA ya nilan wakati ukweli uko wazi mtoto si wake nadhani mondi unatatizo zari anaficha siri ndio maana hata kumuacha ni mtihani hakuna mapenzi hapo nimiulazimisha
 
Kama mondi anamkana huyu mtoto na anajifanya kudai DNA pana siri kunwa sana kuhusu uzazi wa mondi na siri hiyo zari atakuwa anajua mbona hakudai DNA ya nilan wakati ukweli uko wazi mtoto si wake nadhani mondi unatatizo zari anaficha siri ndio maana hata kumuacha ni mtihani hakuna mapenzi hapo nimiulazimisha
Yaani ni noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mond akisema anaachana na zari mtu wa kwanza kurudi ni Wema maana pamoja na mane no yote lkn hajawahi kumtukana Wema wala kumuongelea vibaya zaidi zaidi anamsifia kwenye nyimbo zake na akiulizwa kama bado anampenda Wema huwa hatoi jibu la yes au No, hamisa namuonea huruma hataki kuamini kwamba ye kwake ni mchepuko tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh
Inaelekea wewe umeanza kuwasoma juzi mambo yao au unataka kulazimisha kwa kuandika uongo humu.. wakati threads tulizisoma humu juu ya Diamond kuachana na Wema.. pale harudi hata kwa bunduki.

Pia haya ya kulazimisha watu nanuongo peleka huko insta ukadanganye wenzako.. kila unachoandika humu inaonyesha unamuonea wivu Zari hadi unavuzika haswa. Hamisa ametemwa bwaaaaaaa hadi kuwasema familia nzima ya D. Kaa ulie umeguswa wewe kwa kuhusika na hao unajaribu kuwatetea. Wivu.com be a GT hata kidogo kwa kuununua basi
 
hamisa na sampuli ya wanawake michepuko ambayo kutwa kusubiri mke halali aachike aingie yeye halafu mbaya zaidi anakutana na mwanamke mwenye akili iliyokomaa atoki mtu zaidi mtoto atalelewa tu na kuishia kujutia maamuzi ya kuzaa na mtu asiyekupenda.... hamisa ni muda sasa utulie mapenzi hayalazimishwi dai yupo kwa zari kwa ajili ya biashara the same na zari wale wamejijenga zaidi nje ya mapenzi... sasa mama dai aje kwako zaidi ya kukata kiuno huna la zaida aisee sijui labda ukamloge dai.. nikiangalia kwa jichola tatu hamisa jiandae kisaikolojia

Aliachwa na baba mtoto kwa sababu ya kuwa puta alipomgundua na sio Lulu. bado hajifunzi. Akafikiri kwa D atamkamata imekula kwake hata picha ya kuibia wakiwa kitandani hana kama vile simu zake zilikuwa zinagungiwa na kupewa akiwa getini anaondoka.. hadi kumroga kashindwa eti sasa hivi anaogopa kurogwa kwa kuwatishia!!! Tabu yake ni uputa aliyemlea naye hajaa puta. Ila kashushuliwa.. aende kumshitaki sasa wafanye DNA kama ni gangwe jike. Ndio maisha ya kuwa puta na kujulikana yeye ni puta kama wenzake wengine tuwajuao.

Inasikitisha nchi hii watu wengi kuwashadadia hawa maputa kuwapa title za kama wao ni wao kuzidi wasio maputa, huku wao ni mifano mibaya kwa wasichana.
 
Back
Top Bottom