Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Jamaa wa madale kila wakitaka kutoa Wimbo mpya lazima watafute Kiki ili wazungumziwe mjini.

Hapo ni wazi Dimond kalipa kisasi....Baada ya kuona Nillan sio wake na yeye kaenda kuzalisha nje
 
Weeee hamisa aolewe na mondi???? Ntakunya kilwa mpk dsm ....uyo hamisi wako kama anatafuta mume mwambie best nasso anataka kuoa aende akachukue nafasi huko msiiiiiew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasioolewa shangweee ila walioolewa wanajua maumivu anayopitia zari hats kama iwe hajapelekwa msikitini lakini vaa kiatu cha zari halafu usikie mme kazaa nje ya ndoa na huyo mzalishwaji anajifanya shababi uzuri wake naye anamtoto wa kike pia siku hazigandi hawala hana urithi zari ni strong lady hayumbishwi na mawimbi
narudia tena na neno langu si sharia lakini wale waliondani ya ndoa hakuna anae furahia ili wasio na ndoa mkija kuolewa mtaelewa tuweke timu na utaifa pembeni Africa ni ndugu,
haya ngoja nipambane na kutafuta vyakwangu .......kutafuta majority sympathy am sorry[emoji23][emoji23]
 
Wema kadhalilishwa mara nyingi tu na dai,kumbuka lile tamasha la dai la kiingilio sh 50000 enzi hizo jokate ndo kashika usikan kwa dai,nadhan unakumbuka dai alimfanyia nn wema. Wema akirudi kwa dai atakamilisha ule usemi wa kwamba yeye ni nyumbu

Hizo nyimbo anazoimbiwa ni dhihaka tu
Ni kama alivomwita hamisa "bitch"?? Sasa kumbe kipindi cha jokate lkn baadae c walirudiana hao ?? Wale wanapendana wote sema ndo ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makubwa,kabla ya dai kuwa na zari si alishakuwa na jokate na penny,wema zilipendwa alimuacha mwenyewe eti anaibiwa nyota,hio nyota aliyoachiwa hadi wa leo imemsaidiaje
Mnaamini sana uchawi ila mshana jr akitoa threads zake za ulozi mnamsakama aisee
Kina jokate na penny alikuwa nao alipoachana na Wema kwa Mara ya kwanza baadae walirudiana Wema akamuacha ndo akaenda kwa zari, kwa nn diamond huwa hatoi jibu la moja kwa moja anapoulizwa kuhusu Wema ,?? Wale walipendana kweli sema ustaa tu ndo unawasumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasioolewa shangweee ila walioolewa wanajua maumivu anayopitia zari hats kama iwe hajapelekwa msikitini lakini vaa kiatu cha zari halafu usikie mme kazaa nje ya ndoa na huyo mzalishwaji anajifanya shababi uzuri wake naye anamtoto wa kike pia siku hazigandi hawala hana urithi zari ni strong lady hayumbishwi na mawimbi
narudia tena na neno langu si sharia lakini wale waliondani ya ndoa hakuna anae furahia ili wasio na ndoa mkija kuolewa mtaelewa tuweke timu na utaifa pembeni Africa ni ndugu,
haya ngoja nipambane na kutafuta vyakwangu .......kutafuta majority sympathy am sorry[emoji23][emoji23]
Zari na mond hawana ndoa kwahiyo hamisa na zari wote wamezalishwa nje ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NA ZARI ATATUMIA MASLAHI HIYO KUMDHIBITI HAWA VISHKWAMBI WATAENELEA KUKAA HUKOOO MAMA MJENGO ATAKUWA ZARI WENGINE WATAISHIA KUHANGAIKA INSTA
Ila mapenzi ya kulazimisha nayo yana kero zake jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] na hasa ukiwa mwanamke unatumia hela et kumuwin mwanaume inauma aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom