Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Unaikumbuka ile kampen ya timu wema bring our wema back,unakumbuka interview za wema huwa anasema alimuacha mwenyewe dai na kwamba ni mwanaume wa kiswahili sio saizi yake. Hakuna upendo hapo,dai mara nying tu alimkashfu wema sema tu team wema wanalazimisha mambo ya kupendana.
Na mbona dai huwa hatoi majibu ya moja kwa moja kuhusu hamisa,ukweli ni kwamba dai anaenjoy kuongelewa so akitoa majibu hataongelewa sana
Na mbona dai huwa hatoi majibu ya moja kwa moja kuhusu hamisa,ukweli ni kwamba dai anaenjoy kuongelewa so akitoa majibu hataongelewa sana
Kina jokate na penny alikuwa nao alipoachana na Wema kwa Mara ya kwanza baadae walirudiana Wema akamuacha ndo akaenda kwa zari, kwa nn diamond huwa hatoi jibu la moja kwa moja anapoulizwa kuhusu Wema ,?? Wale walipendana kweli sema ustaa tu ndo unawasumbua
Sent using Jamii Forums mobile app