Huyu hamisa angejituliza ni mzuri na kijana angepata wake tu.angejilia zake kimya kimya tu kama aliamua kuiba.yeye alivyozaa tu paap mara jina .kama ni kweli unajua kabisa huyo anaezaa nae ana mtu ambae kutwa mapicha mtandaoni na mpenzi wake .arobaini ya mtoto wake ulienda na kucheza na kutunza kumbe moyoni unayatamani ( wapo wanawake wa hivyo) anajifanya close na wewe kumbe Ana lake jambo ) sasa hapo ajikaze ajitume alee watoto wake.asitegemee wanaume .ipo siku atapata wake.faiza yule pale amejikubali.