Hamisa Mobetto new Song "SAWA" ni Fire

Pugi kipaji chake kudokoa mabwana wa wenzie, muziki aachie akina ruby

kama masikhara.. graduates tunakomaa na salary za less than a milioni... sasa hivi utasikia hamissa kapata deal ya hallotel na vinyimbo vyake uchwala. mara kajenga nyumba kama nandy.. mziki una upuuzi sana. unaweza usijue kuimba ila ukiwa na nyota tu ya kupata dili kampuni kubwa kama ya simu au vinywaji milioni 100 hii hapa mkononi bwaaa.. umejenga
 
Binafsi naona hamisa hana sauti ya kuimba ni nyembamba sijui ndogo haileti hisia kama inasikiliza wimbo tofauti na sauti ya Ruby na nandi

Hapa naongelea sauti ya kumtoa nyoka pangoni,nahisi wewe ni team misa,. Mi sina team ila kwenye ukweli lazima tusema,hamisa ana sauti ya haya iliyojaa woga si kwenye kuigiza wala kuimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu binti deals anapata ila hana akili za maendeleo,hivi unajua kwamba ana ubalozi wa rasta ila sasa tangu awe balozi biashara ya hizo rasta inadoda. Hana nyota ya bahati
 
Mkuu huyu binti deals anapata ila hana akili za maendeleo,hivi unajua kwamba ana ubalozi wa rasta ila sasa tangu awe balozi biashara ya hizo rasta inadoda. Hana nyota ya bahati
Na saiv team yake wamemkimbia[emoji848][emoji848]
 
Hasa yule team leader kichekesho sana kamzira anzia kwenye account orijino hadi kwenye fekero maarufu
Kamzira haswaaa. Saiv team nandy eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…