Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Hahahaha una mkwaraMmh mbona wimbo mbaya??? Mi sijaupenda... Sasa mtu aniquote aone[emoji48]
"heart broken"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha una mkwaraMmh mbona wimbo mbaya??? Mi sijaupenda... Sasa mtu aniquote aone[emoji48]
"heart broken"
Pugi kipaji chake kudokoa mabwana wa wenzie, muziki aachie akina ruby
I don't trust her[emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]she will eat them,send to my gram
Binafsi naona hamisa hana sauti ya kuimba ni nyembamba sijui ndogo haileti hisia kama inasikiliza wimbo tofauti na sauti ya Ruby na nandiDuh , hamisa naona kaanza kuiva, mwanzo nilikua simuelewi kabisa , Ila hii single yake mpya ya SAWA mmmh nandy na rubby wajipange, bidada anakuja vizuri, wasim understimate kabisa , hii nyimbo konki sana , yani tamu , ya kimahaba na sauti humu kajitahidi kutulia kwa kweli
Ni bora tu ukaroge upendwe na mashabiki uachane mambo ya kuroga diamond , yan wewe ni next level , wanaosubir ushuke watasubir, hongera sana hamisa , kipaji nimekielewa aiseh , yan dah, endelea kupiga kazi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acheni kumnafikia ....sio fresh....Wanazengo punguzen wivu bhana , ebu mpen sifa zake muke ya diamond
Sent from my iPhone using JamiiForums
kama masikhara.. graduates tunakomaa na salary za less than a milioni... sasa hivi utasikia hamissa kapata deal ya hallotel na vinyimbo vyake uchwala. mara kajenga nyumba kama nandy.. mziki una upuuzi sana. unaweza usijue kuimba ila ukiwa na nyota tu ya kupata dili kampuni kubwa kama ya simu au vinywaji milioni 100 hii hapa mkononi bwaaa.. umejenga
Na saiv team yake wamemkimbia[emoji848][emoji848]Mkuu huyu binti deals anapata ila hana akili za maendeleo,hivi unajua kwamba ana ubalozi wa rasta ila sasa tangu awe balozi biashara ya hizo rasta inadoda. Hana nyota ya bahati
Na saiv team yake wamemkimbia[emoji848][emoji848]
Kamzira haswaaa. Saiv team nandy eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hasa yule team leader kichekesho sana kamzira anzia kwenye account orijino hadi kwenye fekero maarufu
Kamzira haswaaa. Saiv team nandy eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo nyota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amehamia team Nandy kadrodraaaa anatamani arudi kwa mama DylanKamzira haswaaa. Saiv team nandy eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]