Hamisa Mobetto new Song "SAWA" ni Fire

Hamisa Mobetto new Song "SAWA" ni Fire

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Duh , hamisa naona kaanza kuiva, mwanzo nilikua simuelewi kabisa , Ila hii single yake mpya ya SAWA mmmh nandy na rubby wajipange, bidada anakuja vizuri, wasim understimate kabisa , hii nyimbo konki sana , yani tamu , ya kimahaba na sauti humu kajitahidi kutulia kwa kweli

Ni bora tu ukaroge upendwe na mashabiki uachane mambo ya kuroga diamond , yan wewe ni next level , wanaosubir ushuke watasubir, hongera sana hamisa , kipaji nimekielewa aiseh , yan dah, endelea kupiga kazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji16]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Sauti yenyewe kaibana mpaka maneno yenyewe uyasikilize haswa ndio uelewe
 
Wanazengo punguzen wivu bhana , ebu mpen sifa zake muke ya diamond


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom