Leo ana zam ya kununua luku halafu hana kituMkuu mbona umechafukwa hivyo?
Tozo😄😄😄Asee hizi stress sasa
Ubongo wa masupastaa wengi ni mdogo kama ubongo wa nzi wa kijani. Nfio maana hutumika vibaya uchaguziniHamisa, ujio wako kutoka Dubai ni Habari kubwa. Ungetengeneza hela kubwa kama ungejizuia kuongea na na waandishi wa Habari. Ukatafuta chombo cha Habari ambacho kingekulipa na kujitengenezea hela za kutosha.
Harmonise pia alifanya kosa hilo hilo. Habari zake alipotoka Marekani ilikuwa ni hela nzuri.
Nawashauri masupa star uzeni habari zenu. Habari ni pesa.
Diamond akienda studio za wasafi kuingea ninhabari. Anauza matangazo mengi siku hiyo.
Tuseme jua au? Maana mvua zimeanza mdogo mdogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aya maisha sio poa
KIONGOZI MLETA MADA UNAPOSEMA JKIA unamaanisha uwanja upi?
Ninajua ila nilitak mleta mada anielekeze tu manake wengi JNIA wana huichanganyaWa Tanzania unaitwa JNIA , wa kenya unaitwa JKIA
Aliposema Rick Ross is now a family, tutegemee ndoa aisee.We ndio umeongea lakin kaongea habari za juu juu tu
Kuachwa si leo, mchizi anampost Hamisa kama hana akili nzuri. Wabongo wanapeleka picha za Hamisa akiwa mwanafunzi kumuaminisha Rick Hamisa anatumia mkorogo. Basi hata wangekodi Mkenya kunyosha English, Ross anasoma English za St Kayumba. Wabongo kwa wivu tumelaaniwa.Hiyo sio shida sana! Kosa ni pale hamisa kama alienda kwa huyu tajiri siku ambazo sio za kushika mimba.hii nafasi ataijutia sana.
Kwa nini ataijutia? Hamisa ni mzuri wa shape ila sura hana hata mimi namzidi.so saa yoyote ataachwa lakini kama kaacha mbegu chilid support lazima ije tu.
Hamisa nakuita mara tatu hope hujapoteza hii chance.
Nimalize kwa kusema hivi,ni bora kufa na maji ya ziwa Victoria kuliko ndoo moja ya maji.
Hakuna mtu ambae hana past hata huyo RR ama past zake akiwa kibongeee mbaya lakini kajiweka sawa na kawa kawaida.Kuachwa si leo, mchizi anampost Hamisa kama hana akili nzuri. Wabongo wanapeleka picha za Hamisa akiwa mwanafunzi kumuaminisha Rick Hamisa anatumia mkorogo. Basi hata wangekodi Mkenya kunyosha English, Ross anasoma English za St Kayumba. Wabongo kwa wivu tumelaaniwa.