Hamisa na Majizzo warudiana

Heee binamu! Makubwa haya. Sasa kijana wa Tandale inakuwaje tena. Mi nina wasiwasi hata yule mtoto mdg Dully siyo wa Diamond maana wako tofauti kabisaaa
Jamani wana wapotevu mmerudi leo
 
Lulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
Sasa Majizo na Lulu si wote wataalamu wa ilo swala hapo ni ngoma droo loga nikuloge inaitwa
 
Jamani hamjui kazi za machangudoa? Mwezenu yupo kazini hapo. Asipofanya hivyo atakula wapi?
 
Mama yake si alisema mwanaye anatakiwa kuolewa na Mzungu?

Labda ndiyo kaanza kuwaaga ex wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…