Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Jamani wana wapotevu mmerudi leoHeee binamu! Makubwa haya. Sasa kijana wa Tandale inakuwaje tena. Mi nina wasiwasi hata yule mtoto mdg Dully siyo wa Diamond maana wako tofauti kabisaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wana wapotevu mmerudi leoHeee binamu! Makubwa haya. Sasa kijana wa Tandale inakuwaje tena. Mi nina wasiwasi hata yule mtoto mdg Dully siyo wa Diamond maana wako tofauti kabisaaa
hahaaa acha tu
ni watendaji wa vijijiHivi huyo Hamisa na Majizo ndiyo kina nani?
Sasa Majizo na Lulu si wote wataalamu wa ilo swala hapo ni ngoma droo loga nikuloge inaitwaLulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
Sawa wangu..... Kula rahaaa, kikubwa raha unapewaKaka umbea rahaaaaa
Mjini sio pa kuhama acha tuuze mashamba tununue madera na vijoraAiseeh mjini kuna mambo sana
Jamani hamjui kazi za machangudoa? Mwezenu yupo kazini hapo. Asipofanya hivyo atakula wapi?Ila huyu mwanamke anaona raha kuharibu mahusiano ya wenzio, kwa hiyo kutembea na Diamond ameona haimtoshi.
Sasa hivi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie Majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao Fantasy Hamisa alilala kwa Majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwanini wanafanya siri wakati wameshazaa na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya Ramada, Hamisa anajificha mwenyewe akikiingia kama mchawi.
Na Majizzo mnafiki wakati analala na Hamisa anajifanya kumpost Lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta, wekeni tu mahusiano yenu hadharani mrudiane mlee mtoto wenu, tatizo wote mmekutana hamjatulia ndio maana mnaogopa kuweka wazi mahusiano yenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mjini sio pa kuhama acha tuuze mashamba tununue madera na vijora
Lulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
Mimi mzima mkuuhujambo mrembo
Mama yake si alisema mwanaye anatakiwa kuolewa na Mzungu?Ila huyu mwanamke anaona raha kuharibu mahusiano ya wenzio, kwa hiyo kutembea na Diamond ameona haimtoshi.
Sasa hivi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie Majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao Fantasy Hamisa alilala kwa Majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwanini wanafanya siri wakati wameshazaa na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya Ramada, Hamisa anajificha mwenyewe akikiingia kama mchawi.
Na Majizzo mnafiki wakati analala na Hamisa anajifanya kumpost Lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta, wekeni tu mahusiano yenu hadharani mrudiane mlee mtoto wenu, tatizo wote mmekutana hamjatulia ndio maana mnaogopa kuweka wazi mahusiano yenu.
Ni KAZEZE.Lulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
Mjini kuna mambo kheri nitafute kiwanja ChatoNi KAZEZE.