Hamisa ndani ya kifaa kipya Vegas ni๐Ÿ’ž

Kungwi Mtoto

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2018
Posts
796
Reaction score
776
Raha ya kuachwa jaribu kuchagua mpz ambaye hata ex wako akimuona au akimsikia roho inamuuma na sio kutafuta bwegeee..
Asilimia kubwa hilo hatulijui muumize ex wako kwa kutoka na mtu aliye juuu yake..
Hamisa katenda ambalo na mimi nimelipenda na familia nzima watabaki midomo wazi sio kwa kejeli na matusi yote yale...
 

Attachments

  • Screenshot_2018-11-08-06-33-37.png
    148 KB · Views: 76
Maumimivu mlonayo nyie hujifanya wababe mbele y penzi ila mkiona ex kapara kifaaa unique mnapata tabu sana...
 
Aliyemuumiza mwenzake hapo nani kwa upeo wako!ikiwa mtu amekukung'uta Pvmbv mpaka amekutotolesha unafikiri kuna kikubwa zaidi ya hiko?

Ajihadhari atachezea tena koki akazalie kwao awape shida wazazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ