Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
Raha ya kuachwa jaribu kuchagua mpz ambaye hata ex wako akimuona au akimsikia roho inamuuma na sio kutafuta bwegeee..
Asilimia kubwa hilo hatulijui muumize ex wako kwa kutoka na mtu aliye juuu yake..
Hamisa katenda ambalo na mimi nimelipenda na familia nzima watabaki midomo wazi sio kwa kejeli na matusi yote yale...