Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi aliyeleta sip uliyemtaka😁Pole ya nini mdada
Kuzaa sip sababu ya mtu kupata kifaa cha maana shida ubongo unawaumiza sana... watu wana watoto watano na wanaendelea kupendwaaa na badooooo mtabakia kuwaza vibaya kwa mwenxenu na ndo huyo sasa...Aliyemuumiza mwenzake hapo nani kwa upeo wako!ikiwa mtu amekukung'uta Pvmbv mpaka amekutotolesha unafikiri kuna kikubwa zaidi ya hiko?
Ajihadhari atachezea tena koki akazalie kwao awape shida wazazi!
Usijidanganye ndugu makombo hayo wenxako wanaona pishi jipyaa. Kuzaa na kutoa mimba nini bora?yani mtu kazalishwa mitoto miwili halafu mi niende hapohapo,mabinti wameisha hadi nifate mmama mwenye lundo la mitoto ,sio kwa makombo hayo
Kweli wewe ni Daudi Mchambuzi unajua hasa kuchambua mada na una uelewa mkubwa inaonekana.Ni naibu spika wa bunge la africa mashariki.
Usimwombee mwenzako baya ombeni jema kwa wengine.. shida ndo maana wengi tunajiombea wenyewe na sip kwq wenzetuJamaa anajua huyo ni dem wa kupita na kuacha
Sa dem anachukulia ndo amefika na kulingishia watu insta
Baada ya mwez moja2 hatutaona tena mapichapicha
Usijidanganye ndugu makombo hayo wenxako wanaona pishi jipyaa. Kuzaa na kutoa mimba nini bora?
😁😁Ni kweli kabisa makombo kwa mwengine ni chakula na mtu anashiba kabisa na njaa inapotea mwaya.
Kwanza kabisa dudu au uchi huwa haina makombo mwaya. Inaoshwa tu watu wanakula mwayego.
So Lovely.
Utangojea huyo kwani mlizaliwa pamoja je hado lep unaye mmoja tu au na kwa nini hujamngojea wa zamani hadi kutafuta mwingine!!
Wewe ni great thinker,hongera sana kwa hii comment iliyojaa busara.ukifanya vitu kwa kumkomesha ex means you still love and appreciate him/ her na roho bado inakuuma.
#FOCUS
cc Smart911
Mkuu nadhani hujamuelewa mahondaw yeye anachopinga ni kwamba,usipendane na mpenzi wako mpya kwa nia ya kumkomesha x wako,endelea tu na maisha yako bila kushughulika na huyo x wako au kutaka kumuonyesha kua wewe sasa ni matawi ya juu,hajakataza mtu anapoachana na mpenzi wake kutafuta mwinginhe mpya! hope utanielewa mkuu Kungwi MtotoUtangojea huyo kwani mlizaliwa pamoja je hado lep unaye mmoja tu au na kwa nini hujamngojea wa zamani hadi kutafuta mwingine!!
Mkuu nadhani hujamuelewa mahondaw yeye anachopinga ni kwamba,usipendane na mpenzi wako mpya kwa nia ya kumkomesha x wako,endelea tu na maisha yako bila kushughulika na huyo x wako au kutaka kumuonesha wewe ni matawi ya juu.. mkuu Kungwi Mtoto
Misa hamkomeshi mtu ila ujue. Na cheki video uone ni yeye aliyebeba au kabebwaa.. na penzi hilo ni muda analo na ndo liko hewani my friend.. hakuna kukomeshana mimi nakataa unaachana na mpz wakonthen unaenda pata mpenzi ambaye hana hadhii ndo hiko nachokataaa....Mkuu nadhani hujamuelewa mahondaw yeye anachopinga ni kwamba,usipendane na mpenzi wako mpya kwa nia ya kumkomesha x wako,endelea tu na maisha yako bila kushughulika na huyo x wako au kutaka kumuonyesha kua wewe sasa ni matawi ya juu,hajakataza mtu anapoachana na mpenzi wake kutafuta mwinginhe mpya! hope utanielewa mkuu Kungwi Mtoto
Mkuu kama ukiisoma kwa umakini comment ya mahondaw ameongelea in general,hakumtarget huyo sijui Hamisa.Misa hamkomeshi mtu ila ujue. Na cheki video uone ni yeye aliyebeba au kabebwaa.. na penzi hilo ni muda analo na ndo liko hewani my friend.. hakuna kukomeshana mimi nakataa unaachana na mpz wakonthen unaenda pata mpenzi ambaye hana hadhii ndo hiko nachokataaa....
Ikumbukwe hata wewe leo ukiachana na uliye naye then unakuja onekana na kimeo hata ex wako atakucheka tuu....👆😁