Hamisa ndani ya kifaa kipya Vegas ni💞

Hamisa ndani ya kifaa kipya Vegas ni💞

Kwani mtu akizalishwa huwa kuna kitu kinakuwa kimeharibika na hivyo hatakiwi kuchukuliwa na mwingine! kwahiyo unataka kutuambia nini kuhusu bosi wa WCB alivyomchukua Zari..?
Asante sana kwa jibu lako.watu wamezoea kuwaona waliozaa ni majinga na hayajielewi.
Tena utakuta mtu kawapa mabint mimba kibao na kasepa yeye anategemea huyo asipate mtu wa kumpenda na wanaishi na wapenzi waliochomoa mimba lukuki heri muuaji au aliyezaa!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
44341444_581061258999045_4184383057993421943_n.jpg
tushangae mashikolo
 
Eheee kupata mwanamme wa one night stand ndio matangazo? Hao wamarekani si wanapiga pipe tu wanakuacha? Akirudi bongo na biashara imekwisha.
 
Back
Top Bottom