Hamisa ndani ya kifaa kipya Vegas ni💞

Hamisa ndani ya kifaa kipya Vegas ni💞

Ni kawaida kwa wanawake wa kiafrika kushobokea watu wenye ngozi nyeupe
 
Wanawake kweli mwalimu wao kipofu,umepitia misuko suko miwili wakuzalishwa na kuachwa ghafla unaingia kwenye mahusano ya mtu mwengine,yaani anairudia njia ile ile iliyompoteza mara mbili tena kwa mtu mwengine,bila hata ya kujipa muda kumtafakari mtu mwenyewe kisa eti ana shindana na baba watoto wake .Sasa ngojea achezee koki wamloweshe baadaye anze kulilia child support.
 
Yaan uende Us halaf urudi hivi hivi na wanaume wa kule walivyo mahndsome ,hamisa nakupongeza
Hahahaaa hata mimi nilikuwa naamini kwamba wamarekani ni ma HB na cuties wakati huo naangalia miziki yao ila baada ya kutembelea huko da wapo waliochoka sana wenye ngozi za goti kama kina 50cent,birdman,seal.
SEAL.jpg
 
Mambo yanayotokea Vegas huwa yanaachwa Vegas. Wabongo hawana taarifa hii?
 
Wanawake bhana! Bungo tayari wameshalitia vidole halafu bado unajiona keki? Hii ni nonsense kavu.
 
Usimwombee mwenzako baya ombeni jema kwa wengine.. shida ndo maana wengi tunajiombea wenyewe na sip kwq wenzetu

Naongea larger possibility
Simuombei mabaya mana ata kuwafatilia siwafatilii

Kama we ni mwanaume najua husha wai kuiexperience
 
Hongera Hamisa,kizuri ni happiness Kama una raha na mume mpya basi enjoy...wengi humu watakuponda Ila kila Mtu ana historia yake..wengi ni za kusikitisha wakiona mwenzao Yuko happy na uhusiano wake wanajiuliza WHY
 
Hongera Hamisa,kizuri ni happiness Kama una raha na mume mpya basi enjoy...wengi humu watakuponda Ila kila Mtu ana historia yake..wengi ni za kusikitisha wakiona mwenzao Yuko happy na uhusiano wake wanajiuliza WHY
🎆🎆sana my dear
 
Jamaa handsome. Ila mapenzi ya long distance hayo itaenda mwisho mtachokana tu. Kama kwa sasa zinaonyesha yupo happy mwacha afurahi
 
Back
Top Bottom