Hamisa official host for Miss Tanzania 2018

Duuh sasa mdogo wako nyota itangaa kua mc
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mdogo angu...atang'aa tu watu si wanaangalia live streaming!!! Ukumbini hawapo wapo kwenye simu
 
Duuh kumbe jamaa ndio mwenye shindano hilo,ila limekosa mvuto kabisa watu wachache sana

shida ya ruge ni mnyonyaji.. anapenda faida yeye tu afaidike.. ndio maana zawadi ya bei rahis.. wasanii wa bei rahisi kina ruby anawanyonya... majaji ndio hao kina remedy wanafanyakazi wa clouds... anajua akileta mtu wa ukweli atagoma kunyonywa
 
Duuh kumbe jamaa ndio mwenye shindano hilo,ila limekosa mvuto kabisa watu wachache sana
Mi nimejua ijumaa kua miss tz ni j1 na hivi sisikilizi radio,na nna dish La Azam ndo kabisaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mdogo angu...atang'aa tu watu si wanaangalia live streaming!!! Ukumbini hawapo wapo kwenye simu
Nimeangalia nkaona hovyo 2,heri hela ya bundle ningenunulia ghahawa na kashata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…