tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hili shindano halina mda chali kama bendi za muziki wa dansi,hiyo gari ya zawadi imewafanya waliokua njiani kuja waenda kunywa bia kuliko kuangalia shindanoshida ya ruge ni mnyonyaji.. anapenda faida yeye tu afaidike.. ndio maana zawadi ya bei rahis.. wasanii wa bei rahisi kina ruby anawanyonya... majaji ndio hao kina remedy wanafanyakazi wa clouds... anajua akileta mtu wa ukweli atagoma kunyonywa