Hamisa official host for Miss Tanzania 2018

shida ya ruge ni mnyonyaji.. anapenda faida yeye tu afaidike.. ndio maana zawadi ya bei rahis.. wasanii wa bei rahisi kina ruby anawanyonya... majaji ndio hao kina remedy wanafanyakazi wa clouds... anajua akileta mtu wa ukweli atagoma kunyonywa
Hili shindano halina mda chali kama bendi za muziki wa dansi,hiyo gari ya zawadi imewafanya waliokua njiani kuja waenda kunywa bia kuliko kuangalia shindano
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo live stream mwanzo mgumu!!

kosa kubwa alilolifanya basila ni kumuhusisha ruge.. huyu baba mnyonyaji balaa.. shindano lote kajaza THT wasanii wake anaowanyonya... ma judge kaweka wafanyakazi wake wa clouds.. na hapo hapo hawalipi.. anakwambia si unapata mshahara... wasanii kina ruby maskini na barnaba hawalipi... gari kachukua baby walker ya kizushi.. viingilio vyote analamba yeye na tv matangazo yoye hela anapiga yeye...

basila akitaka kufanikiwa akae mbali na wanyonyaji kama ruge.. afanye mwenyewe na makampuni ya kueleweka.. maana miss Tanzania ni brand kubwa
 
Labda amefata mteremko kidogoo!!
 
Chief Jaji anatoka serikalini, pia yupo Jenerali Ulimwengu sijui ni lini Jenerali Ulimwengu amekuwa mfanyakazi wa clouds?

Roho za kichawi hizi.

Queen Elizabeth ndio Miss Tanzania saga chupa ubwie.
 
ruge mnyonyaji.. alianza sugu kusema.mnyonyaji, ladyjaydee kasema ruge mnyonyaji, diamond nae kasema.ruge mnyonyaji...
ruby nae akasema ruge mnyonyaji... hao wote hawajuani ila wanasema ruge mnyonyaji...

miss Tanzania wasanii ruby na barnaba wote wa ruge na hawalipi yule baba..

na hata miss tanzania ruge ndie sababu amepewa kigari kidogo sabab ni mnyonyaji
 
Falla wewe chief jaji ni mfanyakazi wa Ruge? Je Jenerali Ulimwengu ni mfanyakazi wa Ruge?

Oneni Mungu alivyowaumbuwa Amisa amependeza kuliko mamis wenyewe.

Nenda kampikie chai simba wa Tandale au kabebe mkoba wa madam zero.
 
Sasa Hamisa kupendeza ndo Mungu kuumbua watu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Falla wewe chief jaji ni mfanyakazi wa Ruge? Je Jenerali Ulimwengu ni mfanyakazi wa Ruge?

Oneni Mungu alivyowaumbuwa Amisa amependeza kuliko mamis wenyewe.

Nenda kampikie chai simba wa Tandale au kabebe mkoba wa madam zero.

kutukana hakuondoi uhalisia kama ruge ni mnyonyaji.. sugu, diamond, ruby, ladyjaydee wanamjua kiundani
 
shida ya ruge ni mnyonyaji.. anapenda faida yeye tu afaidike.. ndio maana zawadi ya bei rahis.. wasanii wa bei rahisi kina ruby anawanyonya... majaji ndio hao kina remedy wanafanyakazi wa clouds... anajua akileta mtu wa ukweli atagoma kunyonywa
Jaji kwa upande wako ulitaka awe nani??
 
Falla wewe chief jaji ni mfanyakazi wa Ruge? Je Jenerali Ulimwengu ni mfanyakazi wa Ruge?

Oneni Mungu alivyowaumbuwa Amisa amependeza kuliko mamis wenyewe.

Nenda kampikie chai simba wa Tandale au kabebe mkoba wa madam zero.
Wabongo utawaweza basi mkuu..kila kitu ruge ruge!!,utafikiri huyu jamaa ni Raisi bongo hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…