GE2025 Hamisi Kigwangalla abebwa juu juu na wananchi wa Nzega vijijini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Kupitia ukurasa wa akaunti yake ya Instagram mtia nia wa jimbo la Nzega vijijini ameandika haya "Kupitia Kazi Inayoongea! “kuna watu mtakuja mtasema maneno mengi sana Kwa sababu zenu mbali mbali; lakini muwe na uhakika pia kujua na kusema kuwa si rahisi kufikia hapa, I put in the work in this, and stayed locked in. Inataka ufanye kazi haswa Kufikia hapa! Safari ya Kazi inaendelea."


Your browser is not able to display this video.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…