Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 3,248 Reaction score 6,146 Oct 1, 2025 #21 Huyu si wa kuamini sana, Lissu hahitaji huruma, atendewe haki yake, na hilo limeonekana wazi kuwa hana hatia.
Huyu si wa kuamini sana, Lissu hahitaji huruma, atendewe haki yake, na hilo limeonekana wazi kuwa hana hatia.
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,394 Reaction score 21,391 Oct 1, 2025 #22 Hawa ndiyo wale Mwabukusi anawaita Wazalendo bandia. BTW: Huyu ana biashara tofauti na Polepole hivyo akiwakera watazipiga pin ili aongee vizuri.
Hawa ndiyo wale Mwabukusi anawaita Wazalendo bandia. BTW: Huyu ana biashara tofauti na Polepole hivyo akiwakera watazipiga pin ili aongee vizuri.
T The lariat JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,351 Reaction score 1,928 Oct 1, 2025 #23 Kwanini watu wakikosa teuzi akili zinarudi na kukaa sawa? Kigwangala awe anaangalia nyuma akitembea peke yake. Juzi kati mabango aliyoweka kwao kwa kuinadi CCM yaliondolewa. Ina maana CCM hawataki michango yake ya kimichongo.
Kwanini watu wakikosa teuzi akili zinarudi na kukaa sawa? Kigwangala awe anaangalia nyuma akitembea peke yake. Juzi kati mabango aliyoweka kwao kwa kuinadi CCM yaliondolewa. Ina maana CCM hawataki michango yake ya kimichongo.
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 15,168 Reaction score 11,024 Oct 1, 2025 #24 Mbaga Jr said: Mtu akiwa nje ya mfumo wa ccm ndo anapata akili timamu ila ukiwa ndani ya ccm unakuwa zwazwa Click to expand... Cc. Polepole
Mbaga Jr said: Mtu akiwa nje ya mfumo wa ccm ndo anapata akili timamu ila ukiwa ndani ya ccm unakuwa zwazwa Click to expand... Cc. Polepole
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 2,330 Reaction score 4,048 Oct 1, 2025 #25 Hata saa mbovu kuna NYAKATI husema ukweli!
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,734 Reaction score 140,476 Oct 1, 2025 #26 Ndengaso said: Kweli pesa mwanaharamu Click to expand... Pesa madafu