Hamisi Kigwangalla: Kuanzia kizazi chetu watu wanataka mageuzi

Hamisi Kigwangalla: Kuanzia kizazi chetu watu wanataka mageuzi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hamis Kigwangalla akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM ametoa mtazamo wake kwa kusema Kuanzia kizazi chaon hadi hiki cha sasa watu wanataka mageuzi

"Kwa hivyo ah kuanzia kizazi chetu watu wanataka mageuzi... constantly wanataka reforms... kila siku transformation kila siku kwa hiyo ndio maana nilikuwa nazungumzia kwamba zama hizo zilihitaji kiongozi wa zama hizo kwa mustakabali wa zama hizo."
 
Back
Top Bottom