Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamis Kigwangalla, amesema hana kinyongo na wanachama wenzake wa CCM kwa kutomchagua katika kura za maoni za CCM zilizofanyika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Kwa kweli sina kinyongo ndio maana mimi sio mtu ambaye utanisikia nalalamika ama ninanung'unika kwa sababu tu sikupata nafasi.
Kwa kweli sina kinyongo ndio maana mimi sio mtu ambaye utanisikia nalalamika ama ninanung'unika kwa sababu tu sikupata nafasi.