Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Alituona vijana km matako yakee ..kuimba kupokezanaaAlikua anahimiza vijana tufikirie nje ya box. Alivyopigwa chini tu alichokua anahubiri kikawa kigumu
ok.🐒Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamis Kigwangalla, amesema hana kinyongo na wanachama wenzake wa CCM kwa kutomchagua katika kura za maoni za CCM zilizofanyika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Hivi huyu ni huyu huyu waziri wetu wa masuala ya mambo ya inside?Alituona vijana km matako yakee ..kuimba kupokezanaaView attachment 3675333
Na huku si ndio kulalamika kwenyewe? Mie nilitarajia angefikiria nje ya boksi kama alivyokuwa anatushauri vijana.Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamis Kigwangalla, amesema hana kinyongo na wanachama wenzake wa CCM kwa kutomchagua katika kura za maoni za CCM zilizofanyika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Kwa kweli sina kinyongo ndio maana mimi sio mtu ambaye utanisikia nalalamika ama ninanung'unika kwa sababu tu sikupata nafasi.