Hamisi Kilomoni alindwe

20bn hiko wapi? Ahadi kibao huku anajipa competitive advertising advantage Africa nzima na football global connections bila kutoa chochote ila maneno. Hizo anazotoa Ni ndogo uklinganisha na flagship anayopewa na Simba Ss
Mimi nataka kujua Mo akiondoka wewe, Kilomoni na Bi Hindu mtachangia angalau kiasi gani
 
Mimi sio shabiki Wala mwanachama wa Simba . Mimi ni mdau na mpenda mpira kwa ujumla wake. Napenda kuona tunakuwa na timu kufikia kiwango Cha timu inayoshuka daraja inapata price na tv money kuliko bingwa wa Spain , France, Belgium etc Kama ilivyo uingerza au tunakuwa na play offs zisizo na ujanja ujanja . Tatamani kuona play yetu ina 170m sterling pounds at stake. Natamani kuona timu hata 4th tie in uwanja Kama haina Basi inakodi uwanja wake kam ilivyo huko ulimwenguni. Alafu Kama nilivyosema Mimi mdau na mpenzi wa mpira mwenye angalau uelewa kidogo wa acquisition na mergers, contracts, property rights, IP na mambo Kama hayo....! Tuangalie na upande wa pili. (Kama una mda wa ziada japo kidogo hata weekend Google usome kitu hiki ni vipage vichache "liberalization for dispossession " na analogy of the case by plato Kama sijakosea.
Mimi nataka kujua Mo akiondoka wewe, Kilomoni na Bi Hindu mtachangia angalau kiasi gani

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Mimi nataka nijue mo anaujanja ujanja kivip labda
Wakimpa hati ndiyo watajua maana alivyopewa hati ya mashamba ya mkonge hakuyaendeleza ng'o badala yake aliyakopea mikopo mikubwa matokeo yake mashamba yamekuwa mapori matupu
 
Unavyosema muhindi atoe hela Simba wao wameweka?? MO ana 49% je Simba sports wenye 51% wameweka ngapi??
acha ulofa basi tumia akili maana mkataba unasema mwenye kutaka 49 lazima atoe b20 na mo alikubali sasa atoe hizo hela au arudishe hiz0 49%
 
acha ulofa basi tumia akili maana mkataba unasema mwenye kutaka 49 lazima atoe b20 na mo alikubali sasa atoe hizo hela au arudishe hiz0 49%
Bora ungeomba nifafanue why nasema hivyo lakini unaanza na matusi *lofa* hivi unaweza Thibitisha mm lofa?? Hebu Lete huo mkataba uliouona unasema mwenye 49% atoe 20bn na mwenye 51% akae kimya??
 
Mwambie huyo muhindi atoe hela kama makubaliano yalivyo asilete janja janja kama alivyowafanyia serikali kwenye mashamba ya mkonge na Africa lyon
Yaani huyu Mo namsikitikia sana hakupata somo kwa Manji Kanjibai mwenzake?mwacha aipate shuruba sasa.
 
Bi Hindu alishiriki kujenga Simba,so yeye ni miongoni mwa wamiliki wa Simbwa.
 
Hawa wazee wa hizi timu wanajifanya wajuaji tim ikiwa vizur zikipitia kipind kigum umsikii kilomon wala bi hindu wao wanapenda ziwe na hali ngum tu
Zamu yenu sasa kulamba dongo,wakati ule mlikuwa mnamshabikia Mzee Akilimali dhidi ya Manji,tulieni.
 
acha upumbavu na ujuha we gongowazi..hela ya usajili na mishahara aliyolipa moo kwa wachezaji na makocha hadi sasa ni thamani ya Yale majengo pale kkoo..mpira pesa na biashara skuiz..sisi tunataka ushindi na furaha basi ..
Uzeni sasa hayo majengo mumpe hela yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…