nikiona mtu anaandika na pumba kama zako natamani ata nikutafune,,..sidhani hata kama simba yenyew unaijua na unajua iliyoyapitia hapo katkat ..simba imepitia kipindi kigumu sana hadi wachezaji wengne tulikua tunapewa kwa huruma za viongozi wa timu ndogo wenye mapenzi na simba,,..simba ilipitia kipindi kiongozi aje mazoezini wachezaji wapewe elf tano tano asubuhi waondoke wakanywe chai na nauli yakurudia jioni mazoezi,,..we unataka uturudishe huko ..hii step tuliyopiga kwa sisi tunaoijua simba yetu ni kubwa mnooo ..usituambie turudi kule tena..unanitia uchungu sana nikikumbuka kipindi kile manji anatutesa sana ..Mimi mwenyew mwaka 2008 nishatoa buku 10 langu mfkon mazoezini tunachangishana wachezaji wapate hela chai.acha kuongea ujinga kbsa soka la bongo hulijui wewe. ..kivyovyote vile moo inabid aheshimiwe na alindwe pale simba ..mengine ni yakujadiliana tu.