Hamisi Kilomoni alindwe

Shit! Kilomoni ni mmiliki wa klabu ya Simba?
Sasa unashabikia timu hafu hujui mmiliki wake ebo? Tambua hilo muda wote unashabikia timu ya Hamis! Pigeni magoti na muandamane kwa magoti hadi kwa mwenye timu ili malengo ya bosi mwizi yatimie.
 
Nenda kinondoni Block 41 kaombe appointment na mmiliki Wa simba hafu akikukubalia basi itakuwa ni wasaa mzuri Wa kukueleza kwa kina timu hii aliipataje, ha ha ha
 
Mimi ni Yanga ila propaganda nyingine haziingii akilini hivi Mo anashindwa kununua nyumba Kariakoo hadi atumie njia ndefu hivi ili aipate?
 
akili za watu wa yanga hazitofautiani na za mzee kilomoni.
yanga mlitaka manji atoe TU hela zake. Ila kumpa timu aendeshe mnaona mnaiuza.
Leo mnahangaika na BAKULI KUBWA KULIKO. hakuna mwanaume atakaye kuhudumia Bila kujua yeye atapata nini.
Uwekezaji ni kupata faida SIO WEWE TOA TU UTALIPWA NA MUNGU.
manji akakimbia
Mimi ni Yanga ila propaganda nyingine haziingii akilini hivi Mo anashindwa kununua nyumba Kariakoo hadi atumie njia ndefu hivi ili aipate?
 
Wewe unaangalia Leo tu eti?
 
Yaani wewe unaijua Simba kuliko mmiliki wake halala Hamis Kilomoni?
 
Mjinga wewe
 
Huu ni ujumbe wangu kwa wapenda haki wote kwenye soka la Tanzania .
Tunahitaji Timu ya kisasa, inayokwenda na wakati.. huwezi kuwa na timu yenye Jina kubwa kimataifa kisha ofisi na makao yake makuu ni kama jiko la mamantilie muwe mnaona aibu sometime na kuficha upumbavu wenu.!
Eneo kama kariakoo ni eneo bora kwa uwekezaji wa kibiashara, nadhani Simba wana viwanja viwili pale msimbazi vinavyoweza kujenga jengo Zuri kubwa litakalofaa kuwa ofisi ya kisasa ya makao makuu ya club ikibidi na Hotel kwa ajili ya wachezaji kama sio makazi yao.

Kikubwa na mkataba ulio wazi kwa muwekezaji unaoweza kuondoa shaka kwa watu wote.. lets wake up people.
 
acha upumbavu na ujuha we gongowazi..hela ya usajili na mishahara aliyolipa moo kwa wachezaji na makocha hadi sasa ni thamani ya Yale majengo pale kkoo..mpira pesa na biashara skuiz..sisi tunataka ushindi na furaha basi ..
Ni wivu tu wa vyura Fc
 
Yaani wewe unaijua Simba kuliko mmiliki wake halala Hamis Kilomoni?
hao wazee wewe huwafahamu vizuri ,,hawaendi uwanjani wala mikutanoni hawaji ..na hata ukimuliza kuhusu simba ataanza kukutajia hiatoria ya mwaka stini hajui hata timu inaendeshwa vp wanachkulia poapoa tu ,,..na tunaozijua hizi timu tunajua kilomoni anataka nini ,,baada week mbili subiri ka utamsikia ..
 
ugomvi ni mkataba tu na makubaliano , sisi wanasimba hatuna jengine
 
Mkuu usihangaike kubishana na haya mashabiki ya makwasukwasu fc...yameona hakuna jipya linaloendelea kwenye timu yao so yanachojaribu kufanya ni kutengeneza maneno ionekane simba kuna mgogoro ili yajifariji kuwa hayavurugani peke yao
 
Sasa unashabikia timu hafu hujui mmiliki wake ebo? Tambua hilo muda wote unashabikia timu ya Hamis! Pigeni magoti na muandamane kwa magoti hadi kwa mwenye timu ili malengo ya bosi mwizi yatimie.
Hahaaaah shabiki la ombaomba fc linatoa povu kuhusu maswala ya simba ambayo hayalihusu....badala ya kuhamasisha kuchangisha mia tano mia tano ili wawalipe mishahara wakina fei toto wasife njaa linatoa mipovu kuhusu simba....TABU IPO PALE PALE...KISU KIMEFIKA KWENYE MFUPA LAZIMA MUWEWESEKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…