Hamisi Kilomoni alindwe

Kwahiyo mnakopea hati za club au zile Treasury bills alizosema CEO Magori?!!!
 
Kila kitu kiko wazi sana , Makubaliano yalishafikiwa na yamesainiwa , kinachotakiwa ni MO kuyatimiza tu , sasa sarakasi ndio ziko hapo .
 
Kwahiyo mnakopea hati za club au zile Treasury bills alizosema CEO Magori?!!!
Sasa hata akikopea kwa hati za timu hasara ni ipi wakati hyo pesa itawekwa kwenye akaunti ya timu?? Ingekua anakopa kwa shughuli binafsi hapo sawa ila sioni shida as long as pesa inarudi kwenye timu.

Hivi vilabu vilichelewa sana kujiendesha vyenyewe ni wakati tu sasa wakubali wawekezaji ili timu zikue maana hata MO ataiendesha kibiashara zaidi ili pesa yake irudi kwa kasi. Ila hao wazee wavaa ''baraghashia'' hawawezi ipeleka timu kokote pale zaidi ya uswahili uswahili tu.
 
huyo mzee hana tofauti na mzee akilimali.... yaani wazee kama hawa ndiyo kikwazo cha soka letu kufika mbali !! sasa huyu mzee hana hata miaka mingi hapa duniani ya kuishi.... wazee kama vilaza kwlkwl
Hata kama akifa leo,hizo hati atawarithisha wanae
 
Mkuu mi nadhani tatizo litakuwa hayo masharti ambayo yapo kwenye huo mkataba wenu ili muachie hizo hati ambapo bila shaka hata ingekuwa wewe ndio muwekezaji bila shaka ungesita ama kikataa kuweka sahihi.
Bila shaka hata dhamira zenu wewe na wenzio mlio upande wa kilomoni mnalijua hilo..

Je unaweza toa dondoo za matakwa yenu hapa jamvini ili watu wengine walio na mapenzi mema wasaidie kumsukuma Mo afikie makubaliano kama lengo lenu no zuri kwa club?
Msisahau kuna tuhuma za ubadhirifu wa mali za Club, Ushirikina, na rushwa wakati wa usajili wa wachezaji na kocha.
Tunafahamu mpaka majina ya viongozi waliokuwa Miungu watu bila wao kupata chao Mchezaji hasajiliwi simba..
Tupe dondoo za huo mkataba wenu hapa jamvini mkuu..
Kila kitu kiko wazi sana , Makubaliano yalishafikiwa na yamesainiwa , kinachotakiwa ni MO kuyatimiza tu , sasa sarakasi ndio ziko hapo .
 
Kwamba atakufa tu , hofu hii ndio imetulazimu sisi wengine kuomba Kilomoni alindwe
 
MO Anadanganywa sana na wapambe , afuate yaliyoamriwa kwenye mkutano wa wanachama wakati wanapitisha mabadiliko baaaasi , hatuna lingine
 
MO Anadanganywa sana na wapambe , afuate yaliyoamriwa kwenye mkutano wa wanachama wakati wanapitisha mabadiliko baaaasi , hatuna lingine
Kwa mujibu wa Magori hilo la Kilomoni na maslahi yenu limekwisha..
 
Apeleke hati za mali ya timu yake Tanganyika arms au BENKI KUU wakamhifadhie kwenye SAFE watukuja kuvunja nyumba na kuiba hati za timu yake ili wampelekee kumridhisha MO
mzee kilomoni ana utajiri mkubwa sana... Anamiliki timu! Safi sana!
 
Bi Hindu ameshamkana Kilomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…