Wimbo wao ule kila ijumaa ulikua nyoko..
Mbinguni hakuna bia
Ndo maana tupo hapa tunakunywa bia
Ukifa tutakunywa zako bia
Hawa wan walikua nuksi
PJ bado yuko clouds na Ramadhani alipost logo ya clouds huenda ana work behind the scene
mmmh....! fetty...?XXL ni kipindi chenye vipaji vingi mno,
Pale kuna
Adam Mchomvu
Fetty
Kennedy the remedy
hao wote hawashindwi kuendesha kipindi.
Kwani waliorudi wamerudi kwa sababu walikosa kazi huko walikokuwa kwa hiyo wakarudi baada ya kuomba tena ajira !?? Au walirudi baada ya kupewa maslahi makubwa kuliko kule walikoenda ndio wakarudi!? Niyonzima alirudi Yanga kwa sababu alikosa timu huko alikokuwa au Yanga ndio walimfata!? Au Okwi aliporudi Simba, yeye ndio aliomba au Simba ndio walimfata kumuomba!?Aliondoka Dj Fetty sasa karudi. Clouds ipo
Akaondoka Gadna na sasa amerudi. Clouds ipo
XXL kuna vipaji halisi pale. Yule dogo Perfect ataziba pengo lake..
sawa umemsahau. Sasa unasikiliza Clouds na yeye hatangazi hapo utaachaje kumsahau!?Halafu mi naona huyo jamaa atapotea wale clouds sijui wan nini si mnaona Diva tumemsahau fasta maana alijiona kile kipindi hakiwi kitamu kama hayupo.
Wewe umejuaje kuwa hajafukuzwa!? Uliambiwa kuwa kahama ofisi yeye mwennyewe!? Kuhusu Fetty kurudi IKuna kipindi fety nae aliaga hiv hiv
Akidai anaenda kusmamia biashara zake
Lakin kwa Sasa amerud mwenyewe
Clouds
Twangala hapa naona hajafikiria
Kabsa
Ww una uhakika gani kua amefukuzwa?Wewe umejuaje kuwa hajafukuzwa!? Uliambiwa kuwa kahama ofisi yeye mwennyewe!? Kuhusu Fetty kurudi I
Hiyo inategemea zaidi makubaliano aliyokubaliana na waajiri wake kwa kuwa hakufukuzwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dogo kazi yake kusema Sure sure
Kwani huyu Twangala naye kaaga? Unajua mwajiri kukupa airtime ya kuaga nayo ni credit kwako na hapa unakuwa umeondoka kiroho safi, so kama aliaga maana yake hakuna mgogoro ni makubaliano wamefikiaKuna kipindi fety nae aliaga hiv hiv
Akidai anaenda kusmamia biashara zake
Lakin kwa Sasa amerud mwenyewe
Clouds
Twangala hapa naona hajafikiria
Kabsa
Clouds wanapenda sana kuendekeza mabifu ya kifala. Sasa kama hata Dozen aliekunywa maji ya bendera kasepa/kafukuzwa nani atabaki?
Clouds ipo na itaendelea kuwepo bila hata dozen ukisikiliza XXL anayefanya kipindi kinoge pale ni Mchomvu kina bdozen wamefunikwa na mchomvu na ukifuatilia siku mchomvu asipokuwepo show inapoa sana kwa ubunifu Clouds haitegemei kichwa kimoja Mzee hilo ulielewe ndio maana watangazaji wao wakienda hata media zingine hawashine kama walivyokuwa Clouds; rejea Gadner alivyoenda Times, nenda kwa Ray Mshana na yule mwanamke walivyoenda wasafi njoo kwa Maestro alivyoenda e-fm na wengine wengi BTW chukua hii kila mtangazaji Tanzania hii ndoto yake ni kufanya kazi Clouds media kuanzia salary, fursa na bata la watangazaji pale asikuambie mtu, Kingine bdozen siyo wa kuajiriwa e-fm siyo level zake Elimu yetu imetuathiri sana kutegemea ajira ndio kila kitu jamaa angebase kwenye biashara zake za nguo na kuitangaza zaidi Born to shine, Mwisho kabisa HII NI SAFARI YA KUELEKEA Wasafi media.
Una mawazo ya kipumbervuClouds FM ushawishi wake kwenye jamii ni mkubwa Sana.. Mizizi yake imekita Sana.. Kufanya kazi kituo kile kwanza fursa ni nyingi.. Vituo Vingine Bado havina ushawishi na kupendwa Sana.. Huko aendako Sidhani Kama atafanya vizuri zaidi ya kuharibu career yake aliyojenga muda mrefu
Inabidi sometimes ukumbushwe nan boss na nan mfanyakaz ili usijione untouchableClouds wanapenda sana kuendekeza mabifu ya kifala. Sasa kama hata Dozen aliekunywa maji ya bendera kasepa/kafukuzwa nani atabaki?