Fibanochi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 476
- 1,018
Walisema hvy kwa Hando, B-12 ni moja ya icon ya clouds fm, Kama hamjui.....jamaa yupo pale inakaribia miaka 20 hv tangu enzi za kina marehemu Vivian....so kusepa kwake Kuna impact kubwa kwa XXL,na CMG, jamaa ndy alikuwa mkali kwe interview na hata ku MC matamasha, ana uweledi wa kuuliza maswali, ni mtulivu akiwa kwe Mike na ana exposure ya mmb lukuki.Kama kaondoka Dj Fetty yupo atachukua hiyo nafasi mbona naye anabalaa lake Clouds hawashindi kupata mtu mwengine lakini naona Dozen atarudi tu atamiss sana Chemistry ya watu ambao alikuwa nao Mjengoni kuanza maisha mapya sio kitu rahisi na kuendelea kufanya mazuri kama alivyokuwa akiyafanya na wenzie.
Kuna mtu kasema Adam ndy kila kitu pale XXL, itakuwa huyu mdau ameanza kufuatilia clouds miaka miwili nyuma. B12 ndy influencer wa watangazaji wote wa afternoon shows, kila mtangazaji wa radio ya kisasa alikuwa anajaribu ku imitate style yake ili aonekane bab kubwa.