Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Nipo hapa nasoma mjadala wa Jamaa wa Dar...nimefurahi kusikia Dar kuna redio inaitwa efm.
 
None of my business!


Kwa lipi? Mimi nilichokikataa ni wewe kusema UONGO dhidi ya Mandi.


Hiki ndicho ulichokisema ulitegemea nikujibu nini?


Hili swali lako ndo likafanya niandike sina tabia kama zako.


LMAO! i don't care!
But stop gossiping to watu who don't f*ckin show their personal life kwa public
Alivyo mshamba atakuja kukujibu tena
 
Kupitia akaunti ya Instagram ya E Fm(efmtanzania) wameandika haya

Hamisi Mandi @bdozen, kati ya majina yake anayopenda ni #TheNavigator (msafiri). Kwenye safari hiyo kavusha wengi kiasi kwamba Tanzania ikampa nyota 12.
.
Ni wakati wa Navigator huyu kutua kwenye uwanja uliobeba ndoto na maono halisi ya mitaa na vijana wote wa Tanzania. #DozenAmetua @efmtanzania na @tvetanzania : kinachofuata ni kupaa juu sana, tuendelee kuruka na kuzipeleka kileleni ndoto za mitaa. Mafanikio zaidi ya Tanzania yetu yako mbele yetu.

Picha ya Hamisi iko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom