Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Kiukweli mandi ni jamaa ambaye ana kipaji lakini sio creative, angeondoka Baba Jonii lingekuwa pigo kubwa maana yeye ndo jicho lao ktk upande wa ubunifu. Kila la heri Mandi u was born to shine men, go and shine out there.
Efm huku haisikiki kupitia Radio mbao hatutamsikia tena Du!
 
Fetty yupo jahazi
Wamrudishe pale..watafute na mmoja mwenye upo mkubwa( shule)
XXL ni kipindi chenye vipaji vingi mno,
Pale kuna
Adam Mchomvu
Fetty
Kennedy the remedy
hao wote hawashindwi kuendesha kipindi.
 
Dau mazee..

Jonijo kumtoa usafini sio jambo dogo..

Jamaa kunakitu wanalenga..
Jonijo sio kwa sababu ya dau Bali wasafi walimpa kipaombele Sana Lily ommy na kucancel kipindi Cha block 89 ambacho kilikuwa chini ya jonijo hiyo ndio sababu imechangia yeye kuondoka ila sio kwa sababu ya dau
 
Wew dogo acha ujinga wako hapa, mada n b12 na efm..
Jonijo sio kwa sababu ya dau Bali wasafi walimpa kipaombele Sana Lily ommy na kucancel kipindi Cha block 89 ambacho kilikuwa chini ya jonijo hiyo ndio sababu imechangia yeye kuondoka ila sio kwa sababu ya dau
 
Halafu mi naona huyo jamaa atapotea wale clouds sijui wan nini si mnaona Diva tumemsahau fasta maana alijiona kile kipindi hakiwi kitamu kama hayupo.
Sawa diva kaondoka Nani kafit nafasi yake? Walimjaribu meena Ally akashindwa
 
XXL ni kipindi chenye vipaji vingi mno,
Pale kuna
Adam Mchomvu
Fetty
Kennedy the remedy
hao wote hawashindwi kuendesha kipindi.
Adam Ni mropokaji na Hana sifa za kuhost,fetty hayupo kwenye Xxl Tena so kipindi kitadorora Sana huyo Kennedy ajafika hata nusu ya bdozen
 
Ncha kali achukue kipindi ili akina mchovu wasipitilize mizaha..
Kennedy ajitahidi naye sio kila wakati sure sure
Mm sijui nimeumia sijui najisikiaje hata sijajielewa bado
 
Lol, none taken,

Kwani unawajua bebes wake wote?
None of my business!

You sound jealous hadi nimekushangaa,
Kwa lipi? Mimi nilichokikataa ni wewe kusema UONGO dhidi ya Mandi.

Eti sina zile tabia zako, lol nani amekuuliza kuhusu wewe?
Hiki ndicho ulichokisema ulitegemea nikujibu nini?

Mbona kama mmeumia kujua ana babe?
Hili swali lako ndo likafanya niandike sina tabia kama zako.

Na utakuaje na tabia zangu ikiwa mapacha tu hawawezi kua na tabia sawa, [emoji23][emoji23]

[emoji2380]
LMAO! i don't care!
But stop gossiping to watu who don't f*ckin show their personal life kwa public
 
Back
Top Bottom