Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,113
- 2,656
Mimi nimesema kasepa/kafukuzwa kwa sababu sina uhakika kamili.Kafukuzwa?
Usijikute wewe ndo fala
Kufa kwa kituo cha radio sio sawa na kufa kwa mtu bali ni kupoteza nguvu ya ushawishi na soko lako kwa wadau wako. Mfano Radio One ya kina Charles Hillary sio hii ya sasa kwa ushawishi. Au RFA ya kina Fredwaa sio hii ya sasa kwa ushawishi, ingawa vituo vyote bado vipo hewani.Clouds haifi leo wala kesho
Creativity ya kufa mtu iko pale
Kuua clouds ni
1.ondoa watangazaji wote
2.ondoa staff wa kawaida wote
Ruge ndio alipoondoka ilitegemewa inakufa
Aangalie au asikilize?Aangalie Leo aone namna Xxl ilivyopwaya
Royal!!!Kimsingi ni kuwa watangazaji wengi wa clouds walikuwa royal kwa Ruge kuliko clouds yenyewe.So bila Ruge chochote kinaweza kutokea.Kingine ni kuwa hakuna mtu mwingine wa kufikiria nini cha kufanya kinachovutia kama alivyokuwa akifanya Ruge..Hili litawagharimu sana clouds.
Unasema watatu ahahaha watu tunakutajia mpaka editors, cameramans, na watu wa TX maudhui ya ITV/RADIO ONE kidogo yanapishana na media zingine isipokuwa Star tv/RFA na TBC/TBC FM ile Taifa ni ya mababu sanaHivi kuna radio au Tv station ilikuwa inafuatiliwa au kuwa na watangazaji mahiri Kama radio one na ITV? Hii media house (IPP) wakati inaingia miaka ya mwanzoni mwa 90 ilikamata Sana soko la media, ilichukua watangazaji kibao toka RTD na kulikamata haswa soko la habari, Embu angalia hv sasa iko wapi, leo nikikuambia nitajie watangazaji hata watatu wa Radio one au ITV, sidhani Kama utaweza. Kutokana na kutokubadilika kwa hii station (IPP) na mishahara kuwa duni, watangazaji wote mahiri na icon wamesepa, pale mkongwe kabaki Abubakari Sadick kwa fujo, na Kama wengine wapo Basi wachache.
Lazima tukubali kila Zama na kitabu chake, itafika muda clouds nayo itasanda tu.
Fetty wakati anaaga alisema haendi kwenye media nyingine na katu hawezi kufanya kazi ya media sehemu nyingine tofauti na CMG!Kuna kipindi fety nae aliaga hiv hiv
Akidai anaenda kusmamia biashara zake
Lakin kwa Sasa amerud mwenyewe
Clouds
Twangala hapa naona hajafikiria
Kabsa
Kuna mtu pale CMG anamfikia hata karibu mtu mmoja wakuitwa NCHA KALI?Clouds haifi leo wala kesho
Creativity ya kufa mtu iko pale
Kuua clouds ni
1.ondoa watangazaji wote
2.ondoa staff wa kawaida wote
Ruge ndio alipoondoka ilitegemewa inakufa
Fety anatambua sana alikotolewa na cloudsFetty wakati anaaga alisema haendi kwenye media nyingine na katu hawezi kufanya kazi ya media sehemu nyingine tofauti na CMG!
Ameishi maneno yake.
Na ww umejibu kwakua unajua amefukuzwa?? Una uhakika ganiAcha vioja. Nime_quote post yako kuwa "Twangana hapa naona hajafikiria kabsa". Ndio maana nikakuuliza wewe una uhakika gani hajafukuzwa? Maana umeandika "hajafikiria kabsa" kuonesha kuwa aliondoka kwa utashi wake.
LoyalRoyal!!!
Hii Ni chai kabisaHauko sahihi kwenye hili mkuu, clouds kuna mishahara mikubwa kuliko media yoyote upande wa redio nchini ukirudi kwenye marupurupu ndio kabisa na hili Jo aliweka wazi kuna mwezi millad aliingiza pesa nyingi kuliko Kusaga
Mmbea wewe unaye_quote umbea.Acha umbea
Unajifanya huyajui maisha ya kibongo sio?Hivi bado watu wanasikiliza redio? Wanasikilizia wapi?
Kwenye simu ama kwenye gari? Najua tecno ndio zina redio.
Aisee.
Kabla ya kurudishwa redio au kipindi chake kilifungwa?Gardner alirudi kwa kukosa ajira huko alikokuwa au alirudishwa kwa dau?
Hakuna post yangu inayosema jamaa kafukuzwa. Kama ipo ilete hapa. Ila nilichofanya ni kukosoa statement yako kuwa "Twangala hapa hajafikiria kabsa" . Statement ambayo inaonesha kuwa jamaa kaondoka kwa utashi wake.Na ww umejibu kwakua unajua amefukuzwa?? Una uhakika gani
Amefukuzwa maybe kaamua kuondoka
Kufuata maslah bora
Hao unaodai wanakuwa kwenye vyombo vya usafiri, wanasikilizishwa redio (kwa maana ya redio ya gari iliyowashwa na dereva) au wanasikiliza wenyewe kutoka kwenye simu zao?Unajifanya huyajui maisha ya kibongo sio?
Asilimia 30% ya wakazi wa Dar asubuhi wanakua kwenye vyombo vya usafiri iwe daladala au gari binafsi wanasikiliza redio vipindi vya asubuhi
Asilimia kubwa ya "wamama wa nyumbani" wanasikiliza vipindi vya kuanzia saa 3 asubuhi, vipindi vya umbea umbea kama Leo tena nk
Asilimia kubwa ya vijana wa vijiweni, saluni, masista duu wasio na kazi wanafunzi nk wansikiliza vipindi vya mchana kama XXL nk
Inapofika jioni wale wote waliokwenda makazini wanarudi majumbani na usafiri mbali mbali wansikiliza radio vipindi kama Jahazi
Kuanzia saa moja usiku wapo wanaosikiliza samari za habari kama kipindi cha count down nk na taarifa za habari kwa wasio na access ya tv kwa wakati huo
Vipindi vya usiku ndio utashangaa watu wanapiga simu usiku kucha wanasalimia watu walio lala ha haaa
Radio zinasikilizwa zaidi kuliko tv inavyo tazamwa sababu kuangalia tv kunahitaji muda wa ziada tofauti na kusikiliza
Ni nini unajaribu kusema hapa!?Kabla ya kurudishwa redio au kipindi chake kilifungwa?
Umeukimbia ule uzi wa mikeka,vp umestaafu?Unajifanya huyajui maisha ya kibongo sio?
Asilimia 30% ya wakazi wa Dar asubuhi wanakua kwenye vyombo vya usafiri iwe daladala au gari binafsi wanasikiliza redio vipindi vya asubuhi
Asilimia kubwa ya "wamama wa nyumbani" wanasikiliza vipindi vya kuanzia saa 3 asubuhi, vipindi vya umbea umbea kama Leo tena nk
Asilimia kubwa ya vijana wa vijiweni, saluni, masista duu wasio na kazi wanafunzi nk wansikiliza vipindi vya mchana kama XXL nk
Inapofika jioni wale wote waliokwenda makazini wanarudi majumbani na usafiri mbali mbali wansikiliza radio vipindi kama Jahazi
Kuanzia saa moja usiku wapo wanaosikiliza samari za habari kama kipindi cha count down nk na taarifa za habari kwa wasio na access ya tv kwa wakati huo
Vipindi vya usiku ndio utashangaa watu wanapiga simu usiku kucha wanasalimia watu walio lala ha haaa
Radio zinasikilizwa zaidi kuliko tv inavyo tazamwa sababu kuangalia tv kunahitaji muda wa ziada tofauti na kusikiliza
Nimeelezea vitu viwili hapo, mishahara na bonus, kipi chai? Watangazaji bongo wasiotaka kwenda clouds ni wa bbc pekee, kuhusu bonus aliongea Jo mwenyewe nenda utube clip ipoHii Ni chai kabisa
Labda ungeleta data inaonesha hiyo mishahara ningekubali tofauti na hapo Ni porojoNimeelezea vitu viwili hapo, mishahara na bonus, kipi chai? Watangazaji bongo wasiotaka kwenda clouds ni wa bbc pekee, kuhusu bonus aliongea Jo mwenyewe nenda utube clip ipo