Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Hivi hii EFM ambayo watangazaji wake ni kina Kingwendu na kina Steve Nyerere ndo watu wanasema inaipindua Clouds!? Au wamealikwa tu kwa jana na leo sio watangazaji wenye mikataba pale.
 
Hivi hii EFM ambayo watangazaji wake ni kina Kingwendu na kina Steve Nyerere ndo watu wanasema inaipindua Clouds!? Au wamealikwa tu kwa jana na leo sio watangazaji wenye mikataba pale.
Bado sana..imekaa kiporipori sana

Angalia hata wanaoisikiliza mtandaoni ni 10X..then do your statistics
 
Hivi hii EFM ambayo watangazaji wake ni kina Kingwendu na kina Steve Nyerere ndo watu wanasema inaipindua Clouds!? Au wamealikwa tu kwa jana na leo sio watangazaji wenye mikataba pale.
Wewe hutaki watanzania wenzio wapate mkate wa kila siku?
Kiukweli hao clouds huwa mnawakweza tu hamna kitu pale,sijaona mtangazaji yeyote geneous level za akina Steve Kabuye au Tobby zamani alikuwa kiss FM mwanza.

Kwa upande wa media tukubali tukatae Kenya wako extra miles ktk uwekezaji pamoja na ubunifu.
 
Mimi nimeongelea Clouds na EFM Chief, hakuna asiyejua kuwa Kenya wako mbali sana kwa ubunifu.

Kama kusema EFM hawajawafikia Clouds ni kuwakweza basi Mimi niache niwakweze aisee

Yaani Kingwendu na Steve Nyerere uwaweke kuchambua hard news za magazeti kweli halafu uniambie nawakweza bure Clouds!? Hahahaha...aisee bado

Kuhusu kupata mkate ni sahihi kabisa ila tusisahau msemo wa kila mtu atakula urefu wa kamba yake.... haimaanishi kwamba hawawezi kufanya vitu vingine ila kwa kipindi wanachofanya bado hawajafit pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…