Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sana..imekaa kiporipori sanaHivi hii EFM ambayo watangazaji wake ni kina Kingwendu na kina Steve Nyerere ndo watu wanasema inaipindua Clouds!? Au wamealikwa tu kwa jana na leo sio watangazaji wenye mikataba pale.
Wewe hutaki watanzania wenzio wapate mkate wa kila siku?Hivi hii EFM ambayo watangazaji wake ni kina Kingwendu na kina Steve Nyerere ndo watu wanasema inaipindua Clouds!? Au wamealikwa tu kwa jana na leo sio watangazaji wenye mikataba pale.
Mimi nimeongelea Clouds na EFM Chief, hakuna asiyejua kuwa Kenya wako mbali sana kwa ubunifu.Wewe hutaki watanzania wenzio wapate mkate wa kila siku?
Kiukweli hao clouds huwa mnawakweza tu hamna kitu pale,sijaona mtangazaji yeyote geneous level za akina Steve Kabuye au Tobby zamani alikuwa kiss FM mwanza.
Kwa upande wa media tukubali tukatae Kenya wako extra miles ktk uwekezaji pamoja na ubunifu.
Efm huku haisikiki kupitia Radio mbao hatutamsikia tena Du!
upi huoMkoa wangu hamna alama ya kijani