mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
mwisho wa clouds UMEFIKA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua la kuku. Jamaa ana kipaji ana caliber ana influence pia yupo presentableHuyo anaenda kujimaliza mwenyewe,
Kwani Clouds anaezuia nyimbo za Diamond zisipigwe ni nani?Au ile kauli yake ya juzi kuhusu ile performance ya Diamond MTV base ndio imemponza.
Wanajiua wenyewe taratibu kwa vinyongo na beef zisizo na maana ,nimeona Majizzo kaposti kwenye page yake ya Instagram.
Mmiliki wa bifu la Clouds na diamond ni nani?Clouds wanapenda sana kuendekeza mabifu ya kifala..sasa kama hata Dozen aliekunywa maji ya bendera kasepa/kafukuzwa nani atabaki?
HakikaHamis Mandi umetukosea sana sisi mashabiki zako chutuma utuombe radhi. Tumetoka mbali sanaa na wewe
Kutoka mbali bila kuwa na maslahi ni ujinga,hata wachezaji wanabusu jezi ila dili zuri likija anasepaHamis Mandi umetukosea sana sisi mashabiki zako chutuma utuombe radhi ..... Tumetoka mbali sanaa na wewe
Wewe ni Mzee TambiTambi?Natabiri hatakuwa na muda mrefu Efm, atarudi Clouds tena
Bebe ake nani?Kamfata bebe,
[emoji2380]
Ataenda kwa yule msanii aliyemsifia.Natabiri hatakuwa na muda mrefu Efm, atarudi Clouds tena
Hakuna tatizoClouds kuna shida mahali