Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Mkuu nazungumzia Mtangazaji Mkuu wa kile kipindi wengine wale walikua wanamsaidia kama ilivyo The Switch Mwenye kipindi ni lIly ommy waliobakia wanamsindikiza ila mwenye sauti ni yeye Ommy.
Mmiliki wa content na Idea ni Clouds au Dozen ?
 
Mkuu nazungumzia Mtangazaji Mkuu wa kile kipindi wengine wale walikua wanamsaidia kama ilivyo The Switch Mwenye kipindi ni lIly ommy waliobakia wanamsindikiza ila mwenye sauti ni yeye Ommy.
Hapo sasa nimekuelewa mzee baba
 
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Ila XXL anayeinogesha ni Mchomvu yule jamaa amefit sana kwenye kile kipindi B dozen ni wakawaida sana sema kwa sababu yeye ndiye mwenye kipindi imembeba.

Nimeona hata Shilawadu yule jamaa Qwisa naye hayupo badala yake wamemuweka Mwijaku.
Kwa hiyo unataka kusema Adam is better that Hamis? be serious we jamaa
 
Kama kaondoka Dj Fetty yupo atachukua hiyo nafasi mbona naye anabalaa lake Clouds hawashindi kupata mtu mwengine lakini naona Dozen atarudi tu atamiss sana Chemistry ya watu ambao alikuwa nao Mjengoni kuanza maisha mapya sio kitu rahisi na kuendelea kufanya mazuri kama alivyokuwa akiyafanya na wenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…