Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

unakariri mdogo wangu,mimi nimeongea kwa maneno yangu mwenyewe sijakaririshwa
Huwezi ukasema

"Sisi ninakuja"

Halafu ukirekebishwa kwamba sentensi sahihi ni

Sisi tunakuja au Mimi ninakuja,

Unaongea mashudu mengine.

Hopeless.
 
Kakini umeelewa nilichomaanisha au unataka kujimwambafy uonekane mtaalamu wa lugha
Huwezi ukasema

"Sisi ninakuja"

Halafu ukirekebishwa kwamba sentensi sahihi ni

Sisi tunakuja au Mimi ninakuja,

Unaongea mashudu mengine.

Hopeless.
 
Kum follow mtu ni lazima??

Mtu ambaye umem follow maana yake amekuzidi kwa namna moja au nyingine kiasi cha kukushawishi um follow.
 
Issue sio kujenga kwenu issue umejenga nyumba ya namna gani..?sion umuhimu wa kujenga mhekalu kijijin..mzee alijenga kajumba kama ka babu tale kijijn kwao-kwetu na mama kajenga kwao kajumba kadogo kakishkaj..ila mjin mzee
Alijenga sehem tofauti:mikoa tofauti nyumba kubwa..ametangulia mbele za haki ila katuacha kila mtoto na kibanda chake though tumejenga zetu..tulizoridhi zinaingiza chambi chambi na za kijijin wanakaa ndugu..
 
Jeneza.....asili ya neno lenyewe ni walioleta Uislam, Waarabu. Kiarabu huitwa Janaiza....hivyo basi...Waislam wanayajua majeneza miaka mingi kabla Wamisionari hawajaja East Africa.
Utopolo.
 
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Hatarious [emoji849]
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Aende Mpakani mwa Tanzania na Zambia watu wanaishi kwenye nyumba za nyasi hafu nje amepaki Range lover, Tanzania tunapenda kujenga sana ndo maana mtu anakaa miaka kibao anajenga nyumba tu.
Au sio bora tuishi nyumba ya nyasi nje tupaki Bentley choo tukachimbe kishimo huko porini, kwa hiyo mkuu hujawah kuwa na plan ya kumiliki asset yako ndio maana wachaga. Bila shaka mkuu haufanyi kazi na pia sio mchaga wala hujawahi kuishi sehemu tofauti na hapo ulipo mkuu tafuta marafiki wengine hao ulionao hawakufai tafuta mke mwenye akili atakuelewesha maana ya maisha bora na mazuri.
 
Kwani we unazani ukiishi kwenye ghorofa na mwenzio akaishi nyumba ya nyasi hafu anakuzidi pesa na maisha nani mjanja? Ndo vijana mkipata tu vihela mnakimbilia apartment Masaki, Mikocheni au Mbezi mkiishiwa mnaanza kutapatapa
 
Kwani we unazani ukiishi kwenye ghorofa na mwenzio akaishi nyumba ya nyasi hafu anakuzidi pesa na maisha nani mjanja? Ndo vijana mkipata tu vihela mnakimbilia apartment Masaki, Mikocheni au Mbezi mkiishiwa mnaanza kutapatapa
Duuu kwa hiyo niache ghorofa niende nyumba ya nyasi ili ninunue gari.
 
romy jones tulia basi mnapoambiwa ukweli mkubali....wewe nahisi madirishani ndio utaweka mifuko ya sementi iliyokwishatumika badala ya bendera za CCM.
 
wengi mnaojenga kijijini, mnajenga ku maintain status ni kama pride Fulani, wala hakuna linguine linalowasukuma kufanya hivyo.. which is sad... pride wengine sio tu pride hawana bali pia sio priority....

Maendeleo kijijini tafuta kwa nini hamna.
Kuna wengine tulizaliwa vijijini, tkasomea huko, baadaye tukaingia mjini kufanya kazi. Mtu umefanya kazi miaka 30 au zaidi, ukizeeka unakuwa na hamu kurudi ulikokulia. Lakinoi kama hukujenga huko unabakia mjini ukisononeka na hekaheka za mjini. Mjini kuzuri ukiwa kijana. mimi niliona hivyo siku nyingi ndiyo maana nikajijengea kabanda ninakokaaa siku hizi huko kijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…