Mmmmh.. ni wapi hapo nje ya nchi watu hawathamini kumiliki nyumba?
Tena nje ya nchi, watu ndo wanakuwaga na dream za ku own nyumba (real estate), sema shida ni kwamba kumiliki nyumba ni gharama sana ndo mana wengi wanaishia kupanga mpaka wanakufa.
Sioni kama ni akili kuwa na mihela mingi kwenye account halafu usiwe na nyumba, ni kukosa akili.. pesa hii hii ambayo ikitokea inflation inakuwa haina tofauti na makaratasi?
Mtu yoyote mwenye akili popote pale lazima uwaze kumiliki nyumba, at some point in your life... Hakuna ufahari wa kutokuwa na nyumba nzuri.
Refere basic needs
- Food
- Shelter (Housing)
- Cloth
Hivi ndo vitu vitakupa heshima duniani.. How you eat (become healthy), Where you live (Good House), what you wear (Good Clothes).. sijui kama umenisoma mkuu