Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Na avuliwe ubunge iwe onyo na fundisho kwa wengine.huyu mpuuzi anatakiwa kushtakiwa kabisa huyu. yaani anataka aseme ati kwakuwa amewatoa kina domo ati naye ana mchango kwa taifa pumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na avuliwe ubunge iwe onyo na fundisho kwa wengine.huyu mpuuzi anatakiwa kushtakiwa kabisa huyu. yaani anataka aseme ati kwakuwa amewatoa kina domo ati naye ana mchango kwa taifa pumbavu
Mkuu hivi yale makabrasha madokoma,wanayopewa wabunge wakayapitie...hivi jamaa anayasomaNa avuliwe ubunge iwe onyo na fundisho kwa wengine.
HAHAHA! Kwakweli sidhani, na hata wakisoma ni wachache husoma kwa mazingatio ila majority husoma kama wanasoma message tu... kuelewa ila mazingatio na utendaji sidhani.Mkuu hivi yale makabrasha madokoma,wanayopewa wabunge wakayapitie...hivi jamaa anayasoma
Kweli [emoji1]
Ova
Wewe ni mwendawazimu.Ujinga wako tu. Newton alipewa uprofesa na kufundisha chuo kikuu akiwa hana hata shahada ya kwanza; kilichozingatiwa ni uvumbuzi wake wa nguvu ya uvutano (gravitational force) na mengine yakiyofuata.
Diamond alianza muziki kwa wimbo wake maarufu wa Mbagala, mbele ya nyumba jalala. Huyu babu Tale aliyemuibua Diamond toka jalalani mbagala kumfikisha hapa alipo kuna ubaya gani kutunikiwa udaktari wa heshima?
Mbona hawa wanaoliangamiza taifa wakipewa hizo heshima hamsemi?
Have we lost our civility to this extent?
Acheni wivu. Babu Tale more than deserves that honor.
Jistukie sometimes! Ficha ujinga wako kidogo usiumwage sana kwa UMMA unazidi kujishusha we kilaza.Ujinga wako tu. Newton alipewa uprofesa na kufundisha chuo kikuu akiwa hana hata shahada ya kwanza; kilichozingatiwa ni uvumbuzi wake wa nguvu ya uvutano (gravitational force) na mengine yakiyofuata.
Diamond alianza muziki kwa wimbo wake maarufu wa Mbagala, mbele ya nyumba jalala. Huyu babu Tale aliyemuibua Diamond toka jalalani mbagala kumfikisha hapa alipo kuna ubaya gani kutunikiwa udaktari wa heshima?
Mbona hawa wanaoliangamiza taifa wakipewa hizo heshima hamsemi?
Have we lost our civility to this extent?
Acheni wivu. Babu Tale more than deserves that honor.
Huyu Musukuma ukiacha hela ya kichawi aliyonayo atatoa lecture gani huyu kenge!Watu wanaitukana Elimu, ila wanaenda kununua PhD nje ili waitwe madoctor. Nilimsikia msukuma anasema kuwa Sasa ataenda kutoa lecture vyuo vikuu, kisa anaitwa Doctor.
Maccm ni hovyo Sana!upuuzi huu tuilaamu ccm. iliendekeza kuteua watu wenye pdh...saa hiki kirusi kimeingia kila mahali hadi viongozi wa dini wengi wanaojiita madokta wametumia sadaka wakanunua udhalimu huu
Kwani huyu ni wa chama gani cha siasa?View attachment 2511319
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500
Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
Don't drive and text.😂😂😂 Hii nmecheka mpanda kidogo nipindue gari, mngepata breaking news kuna gari imegonga Fuso uso kwa uso,
Sasa huwezi nipangia cha kuleta hapa... Wewe ni nani upangie watu cha kuposti... Peleka stress zako za maisha huko.Sawa yeye ndo kasema... wewe kwanini utuletee hapa kauli hiyo ya kipuuzi?! Bilioni moja "1" anayolipa huyo bwana inakunufaisha wewe au walalahoi wa taifa hili unafkiri?!
Jamani mnisaidie kuna hili gazeti la TCU magazine january - june 2020 lenye kichwa cha habari "A reflection on honorary doctorate (Honoris Causa) award in Tanzania By Professor Joseph Kirende. Nimesoma hii article naona ni nzuri na imetoa mwongozo kwamba wenye digrii za heshima hawastahili kuitwa doctor....fulani sasa kwa nini waandishi wa habari bado wanawaita Doctors? Na hawa waliopewa PhD za heshima kwa nini wasikemee waandishi kuwaita Doctors? Kichekesho kingine kuna nchi fulani ilitoa Uprofesa wa heshima hapa Tanzania, nafikiri ni mara ya kwanza duniani kutolewa hii heshima, ni vema iingizwe kwenye Guiness world record bookPhD ziko 3 moja wapo ya heshima .
Wenye PhD za kuandika na tafiti ukifwatilia asilimia 50% feki za kusaidiwa kuandikiwa au kupasishwa leo wakiambiwa wafanye tena mitihani na kuandika tena tafiti ni 0%.
Kwa hiyo waliopata ya heshima wamepata kinachowauma nini ?
afadhali umesema "muhalo", ungebadili tu l na kuwa r tungesikia harufu hapa. hizi digrii ziwe za kupewa au za kununua pia naamini Zina mpangilio wake wkt wa kuzitumia - kuna zinazotangulia kama ya Jina na kuna zinazokuja baada ya Jina ...nk. ingependeza zikitumika hivo piaHujaangalia Bunge?.
Takriban dakika 30, zilikua zamotoo.
Nahisi Dr Taletale, alipatwa na muhalo 😂