Ujinga wako tu. Newton alipewa uprofesa na kufundisha chuo kikuu akiwa hana hata shahada ya kwanza; kilichozingatiwa ni uvumbuzi wake wa nguvu ya uvutano (gravitational force) na mengine yakiyofuata.
Diamond alianza muziki kwa wimbo wake maarufu wa Mbagala, mbele ya nyumba jalala. Huyu babu Tale aliyemuibua Diamond toka jalalani mbagala kumfikisha hapa alipo kuna ubaya gani kutunikiwa udaktari wa heshima?
Mbona hawa wanaoliangamiza taifa wakipewa hizo heshima hamsemi?
Have we lost our civility to this extent?
Acheni wivu. Babu Tale more than deserves that honor.
Jistukie sometimes! Ficha ujinga wako kidogo usiumwage sana kwa UMMA unazidi kujishusha we kilaza.
Watu kama kina Newton na wengineo ni CHOOSEN FROM GOD! Katafute kitabu cha watu mashuhuri zaidi wa pekee "100" walioletwa duniani kwa dhumuni/madhumuni maalum na mungu, kisha utulize akili umsome kila mmoja utaelewa.
Na ndomana karama walizojaaliwa na mungu wazilete ulimwenguni kwa nia fulani zinaishi miaka na miaka na zitaishi daima! Hata asingepewa au kutunukiwa chochote mpaka kesho kanuni na theory zake zitaishi.
DIamond ndio sababu ya mtu kupewa PhD...?! Tena kiongozi wa eneo fulani nchini... hivi una miaka mingapi na elimu gani jamaa?! Unachokieleza chenyewe hukijui! Nyimbo ya kwanza ya huyo kijana ni "nenda kamwambie" waliomtoa mpaka leo hasemeshani nao... sina hakika maana si mfuatiliaji sana ila najua ni bwana mmoja akiitwa "BOB JUNIOR" na ndo alimrekodia nyimbo kadhaa huyo kijana na kumpa moyo sana kwamba subra ndo kila kitu, atafanikiwa... badae akamuona FALA baada ya kupata, msemo wa MASIKINI AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA ukadhihirika rasmi, na maneno tele kwenye vituo vya televisheni na redio kwamba BOB JUNIOR mara alimfanya, mara alimfanya vile... basi ilimradi tu. Watu mkaaminishwa ila tabia hiyo aliendelea kuidhihirisha yule kijana kwa watu kadhaa aliokuwa akifanya nao kazi na ushahidi upo.... HIVYO NI TABIA YAKE KUKATAA WATU NA KUWAZUSHIA MANENO AKISHAPATA.
Kingine ni Swala la rizq na kumtoa mtu ni bidii/jitihada yako na mungu... wengine ni njia ya wewe kufika destination maishani mwako.
Kwa mataifa yalioendelea na ya watu wenye akili timamu hiyo si hoja ya kuzungumza watu wangemtaka ajiuzuru mara moja!
Alijisemeaga "MIRAJI KIKWETE~ wabongo wengi hutumia matako kufikiri, vichwa ushahidi tu au muonekano"