Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Katika pitapita zangu huko mjengoni insta nkaona habari inatrend sana ya mlimbwende Hamisa Mobeto kutumbuiza Ikulu hadi mkulu kumsifia "kusifiwa na mkulu si mchezo" alisikika mtu mmoja akisema.
Nyota imemuwakia huyu mdada kila anachofanya kinanoga kila akigusa imoo kila anapokuwepo anaonekana ,sijui ndo muda wake au ndumba ila hali imekuwa tofauti upande wa pili kwa madame founder na CEO wa endless fame Sepenga sijui anakwama wapi
Bibie amekuwa mtu wa mahakamani kila kukicha mara skendo hii mara mama kampa laana mara shida hii mara tabu ile nafikiri wakati ushamtupa mkono.
Huu wakati wa kurise kwa Mobeto na kufall kwa Sepenga
Zingatia utumie muda kabla hali haija change somo kwa wadangaji wa mitandaoni pia