Hamissa Mobeto vs Wema Sepetu inaitwa rise and fall

Hamissa Mobeto vs Wema Sepetu inaitwa rise and fall

Wote ni wanawake tofauti mmoja anajitambua mwingine bado hajajitambua yeye kwake miaka haisongi bado mtoto wa mama alilewa masifasifa fulani.
 
Kuna vichwa vipo nyuma ya Hamisa. Ninachokipenda kwake ameamua kuajiri watu wa kuangalia biashara yake Kama brand, hicho ndo kinamtofautisha na mastar kibao wa bongo ambao hawaheshimu profession za watu. Hamisa akiendelea hivi ni dhahiri atakuja kufanya makubwa.
 
Kwanza kabisa ujui kuandika Cha pili ujui hata ulichoongea Ni Nini.Hamisa ameanza kupata umaarufu mkubwa baada ya kuwa video vixen wa wimbo wa Salome wa diamond + skendo za kutoka na diamond kabla ya hapo watu waliomfahamu walikuwa wachache diamond ni msanii mkubwa Africa na Kila anaye date lazima awe maarufu cos ndio msanii anayefatiliwa maisha yake kuliko msanii yoyote Africa mashariki na pia anafatiliwa Africa ndo maana baada ya hamisa kudate na mondi akajulikana east Africa, Nigeria, Zimbabwe,Zambia,Namibia etc so dada usipinge hata ukipinga huwez kubadilisha ukwel.
So wewe unajua kuandika mbona basi wewe sio maarufu kama diamond???.
Kutembelea nyota yake? Au kawa maarufu kwa kutumika na diamond?
Kunautofauti kama ametumia nyota yake diamond asingekuwa yuko sawa kimuziki diamond alivyonyaka nyota ya wema huoni wema kashuka hadi leo hajui afanyaje??
 
Kila zama na zama zake...

Hamisa ni zama zake.... Wema ananyota ya kutumiwa... anatumika sana faida wanapata wengine, yeye anaachiwa matatizo tu...


Cc: mahondaw
 
Muda wake huu..ila kumfikia Madame central bado sana
 
Toka ajikondeshe na Msambwanda kupungua amepoteza mvuto,kawa kama mgonjwa,aliyemshauri ndiye mchawi wake...
 
Back
Top Bottom