Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So wewe unajua kuandika mbona basi wewe sio maarufu kama diamond???.Kwanza kabisa ujui kuandika Cha pili ujui hata ulichoongea Ni Nini.Hamisa ameanza kupata umaarufu mkubwa baada ya kuwa video vixen wa wimbo wa Salome wa diamond + skendo za kutoka na diamond kabla ya hapo watu waliomfahamu walikuwa wachache diamond ni msanii mkubwa Africa na Kila anaye date lazima awe maarufu cos ndio msanii anayefatiliwa maisha yake kuliko msanii yoyote Africa mashariki na pia anafatiliwa Africa ndo maana baada ya hamisa kudate na mondi akajulikana east Africa, Nigeria, Zimbabwe,Zambia,Namibia etc so dada usipinge hata ukipinga huwez kubadilisha ukwel.
Basi kaiapdet inamaana huoni?au jeuriSijaona hiyo nyota iliyomuwakia Hamisa au labda insta yangu ipo outdated
Basi kaiapdet inamaana huoni?au jeuri
Koma mi sio timu ya vichwa maji.nasema ukweli tokea wamatunzwa na familia yake hadi huyu mkenya
Hawa ni mamario tu hawana dili sasa huku bongo hawaoi kisa wanachunwa sio wanachunaSamahani "wamatunzwa"ina maana gani?