Hamjambo hapa jamani?

Hamjambo hapa jamani?

Joined
Apr 25, 2012
Posts
6
Reaction score
4
Za hapa jamani? Nimesikia sifa zenu njema kwa ujenzi wa Taifa hili. Nimeamua kwa dhati kujiunga nanyi. Nimechoka kutetea uozo. Naombeni kiti nikae niwasimulie ya Serikalini mwenu. ANGALIZO: sitaweka nyaraka kwakuwa nyingi nimeshiriki kuzisaini/kuzitengeneza
 
Nimechoka kutetea uozo. Naombeni kiti nikae niwasimulie ya Serikalini mwenu. ANGALIZO: sitaweka nyaraka kwakuwa nyingi nimeshiriki kuzisaini/kuzitengeneza
Karibu na Hongera sana SIOGOPI LOLOTE kwa kuja kulitetea taifa...
Hatuna tatizo na kutoweka nyaraka ila waweza weka hata baadhi hata ikibidi kutupatia kwa PM...
Karibu sana na tuungane kupinga dhuluma kwa wanyonge
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana
Twende kule jukwaa la siasa utupe mambo.
 
karibu maige umesign nyaraka nyingi ehh.Tubu kwa mungu wako akusamehe.
 
Karibu sana Mkuu. Usiogope, tuwekee kila ulichonacho ila hatutaki uzushi.
 
Back
Top Bottom