Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Atakuwa amekosea maana sote tunajua simba ndio bingwa..nini hiki umeandika,au uko pombe mkuu?
Mnafuraha mpaka mnakosa cha kuandika halafu mnatawazwa kuwa mabingwa hamjaanda mbuzi au ng'ombe tuje tule wajameni,ng'ombe wa Mayele bado yupo au ulikufa?Atakuwa amekosea maana sote tunajua simba ndio bingwa..
Hao wataondoka tu, japo itaigharimu Sana Simba lakini tukimalozana na hao basi tutakua levels za waydadSimba imevuliwa ubingwa, wale viongozi waliodhani wanamkomoa Mo Dewji wakae wakijua kuwa aliyekomoka sio Mo Dewji, ni sisi wanachama na mashabiki, tunajua viongozi wala hamshtuki kwa sababu haya yalitegemewa msimu huu, mipango na mikakati iliuzwa mapema tu, tunashukuru sana, na yanga wataendelea kuwa mabingwa msimu ujao kwa sababu GSM anajielewa.
Kuna watu lengo Lao kumkomoa mo, bila kujua Kua wanaikomoa Simbanini hiki umeandika,au uko pombe mkuu?
Yanga si huwa wanakata moto kipindi cha pili?Mnafuraha mpaka mnakosa cha kuandika.alafu mnatawazwa kuwa mabingwa hamjaanda mbuzi au ng'ombe tuje tule wajameni,ng'ombe wa Mayele bado yupo au ulikufa?
Mbumbumbu bwana!Simba imevuliwa ubingwa, wale viongozi waliodhani wanamkomoa Mo Dewji wakae wakijua kuwa aliyekomoka sio Mo Dewji, ni sisi wanachama na mashabiki, tunajua viongozi wala hamshtuki kwa sababu haya yalitegemewa msimu huu, mipango na mikakati iliuzwa mapema tu, tunashukuru sana, na yanga wataendelea kuwa mabingwa msimu ujao kwa sababu GSM anajielewa.
kilichowasaidia ni kwamba mwenye nyumba aliweka mkazo zaidi kazi za nje ya nchi kuhakikisha nchi inapata nafasi nne ndo nyinyi mkapata nafasi ya kubeba ubingwa.ila msimu ujao walai nakuhakikishia nguvu zote azitowekwa kimataifa tu itakua 50/50 nusu ndani nusu nje.Yanga si huwa wanakata moto kipindi cha pili?
Leo hii nimekosea tena?
Tulishakubaliana Simba Sc ina kikosi kipana🤣🤣🤣kilichowasaidia ni kwamba mwenye nyumba aliweka mkazo zaidi kazi za nje ya nchi kuhakikisha nchi inapata nafasi nne ndo nyinyi mkapata nafasi ya kubeba ubingwa.ila msimu ujao walai nakuhakikishia nguvu zote azitowekwa kimataifa tu itakua 50/50 nusu ndani nusu nje.
Simba kuna watu wapumbavu sana,unawezaje kumwacha mchezaji kama Morrison na huna hela ya kusajili kushindana na akina Berkane?Mimi naendelea kulaumu benchi la ufundi la Simba ,Kuna mechi walikua wanadharau yaan tulipoteza mechi kizembe Sana na kutoa draw kisa kuishi kwa mazoea.
Yanga wamefanikiwa sabab kila mechi kwao ilikua fainali hawakudharau hata timu moja.
Simba wangekua serious huu ubingwa ungekuja amuliwa kwa idadi ya magoli Kama sio point moja tu.lakin kwa vile Simba waliishi kwa mazoea ona yanga anatangaza ubingwa huku akiwa na mechi tatu mkonon ,hizi ni dharau ndio zimetuponza kukosa morali na kucheza vikosi vipya kila mechi.
Na msimu ujao nawoana yanga wakitwaa Tena ubingwa km Simba hawataacha dharau za kudharau baadhi ya mechi na kutokua serious kwa kila mechi.
Kuna mechi Simba alipoteza kizembe Sana ,acha yanga abebe ubingwa ili tujifunze kuheshimu opponents wetu tunapokutana nao .hongereni Wana yanga.
Simba kuna watu wapumbavu sana,unawezaje kumwacha mchezaji kama Morrison na huna hela ya kusajili kushindana na akina Berkane?
Mwaka huu hatutaki ule ujinga wa kutudanganya kwenye usajili kupitia media.
Tena kuna huyu mwenyekiti IQ yake ina mashaka mashaka sana.Club haiwezi kuwa na mwenyekiti mropokaji.Unawezaje kutudanganya eti Simba inaweza kusajili mchezaji yeyote inayemtaka na wakati mmekaa kibahili kiasi hicho?
Mimi naendelea kulaumu benchi la ufundi la Simba ,Kuna mechi walikua wanadharau yaan tulipoteza mechi kizembe Sana na kutoa draw kisa kuishi kwa mazoea.