Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Simba imevuliwa ubingwa, wale viongozi waliodhani wanamkomoa Mo Dewji wakae wakijua kuwa aliyekomoka sio Mo Dewji, ni sisi wanachama na mashabiki, tunajua viongozi wala hamshtuki kwa sababu haya yalitegemewa.
Msimu huu, mipango na mikakati iliuzwa mapema tu, tunashukuru sana, na yanga wataendelea kuwa mabingwa msimu ujao kwa sababu GSM anajielewa.
Msimu huu, mipango na mikakati iliuzwa mapema tu, tunashukuru sana, na yanga wataendelea kuwa mabingwa msimu ujao kwa sababu GSM anajielewa.