Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mbona Kuna watu wana mimba Humu ila wanaingia online?Hapana hashiki sana simu kwakua yupo na mtoto wangu tumboni
Inategemea na jinsi mimba inavyompelekesha mtuMbona Kuna watu wana mimba Humu ila wanaingia online?
Mtoa mada au wewe ni Lucas Mwashambwa unatuchota tu
Ndio ndio ππππVincenzo Jr ya kweli haya?π
ItakuwaMtoa mada au wewe ni Lucas Mwashambwa unatuchota tu
Yupo mzima kabisa
Kaamua tu atulie, mzabzab hana hizo tabia za wivu.Inawezekana amepigwa ban na mchumba wake asionekane humu